Msikilizeni Waziri mwenye Dhamana

Nawapa elimu mjue maana, siko hapa kwa hati miliki. Je nikiondoka na akaja mwingine ambaye hayupo humu, mtapeleka wapi hayo maoni? Mnatakiwa mjue concept nzima ya maendeleo ya jamii kuwa ni treni ndeeefu ya mabehewa meeengi yaliyobeba dhana za kuchochea hayo maendeleo ya jamii. Itawasaidia.
 
Mimi siyo kaka tafadhali. Edit kwanza hapo ndiyo hoja yako ipate standard ya kurejewa kwa reply tafadhali
 
SIJAKUELEWA.
 
Jibu hutegemea muundo wa hoja? Kama goja inalazimisha kuwa, hili liko hivi na siyo vile, wakati jambo lenyewe ni ka kiufundi, na mimi nipo na mafundi wenyewe na hawasemi hivyo, ili nichukue hoja yako, si inabidi nikuulize uthibitisho wa ufundi wako?
 
Dr. Asiporudi basi chama hakitatutendea vyema kabisa.

Na wizara apewe hii hiiπŸ™
 

Yesu hakuwa mtume. Au wewe ni Muislam
 
Tatizo moja linawakumba wengi ni kutojua hata chombo gani kinahusika na kusimamia hayo maadili yenyewe ili mkipe hayo maoni. Ndiyo maana huwa nawasikiliza nawahurumia tu kuwa, siku nikimaliza majukumu haya sijajua nani sasa mtakuwa mnampa hayo maoni yenu. Na kuwa, ushoga umeongezeka, tathmini yako iende sambamba na kuongezeka kwa uhuru wa habari. Vinginevyo nawe mpiga stori tu sasa, tuendelee kusoma stori.

Na takwimu za ushoga kwa mujibu wa sheria, utazipata wizara ya mambo ya ndani na wizara ya katiba na sheria ambako, hukumu za mashoga kwa mujibu wa sheria hufanyika.
 
Dr. Asiporudi basi chama hakitatutendea vyema kabisa.

Na wizara apewe hii hiiπŸ™
Haki hutendeka vema kabisa kulingana na mahitaji ya nyakati mbalimbali hivyo, mtu kurudi au kutorudi ni mipango tu na mikakati ya serikali siyo lawama kwa yeyote
 
Wakamuuliza Yesu’ Sisi tumeacha vyote tukikufuata tutapata nini?”

Yesu Kristo akawajibu β€œ duniani mtapata mara 100 na mbinguni mtapata Uzima wa milele β€œ
 
Asante kiongozi, mwenye kuelewa ameelewa.
 
Kuna mtazamo usio sahohi kabisa. Wqziri nimekufuatilia kwa muda mrefu Sana. Kwako wewe maendeleo ya jamii ni kupinga na kupunguza ukatili wa kijinsia tu Basi. Mengine sio maendeleo ya jamii. Waziri, wizara yako hii ni wizara mtambuka. Kiuhalisia wewe ni waziri asiyekuwa na wizara maalum. Maendeleo ya jamii yanagusa nyanja nyingi Sana. Usijikite kwenye unyanyasaji wa kijinsia tu.
 
Walaa, kumbe hujanielewa kabisa na kumbe, tunapoeleza utekelezaji wa wizara dakika 60 pale bungeni siku ya kusoma hotuba ya bajeti wewe wala huwa husikilizi, miaka yote 4 nasoma wala husikilizi. Sawa utajuaje tunayofanya? Yaani bunge lote linajua na kutupa fedha wewe hujui halafu unatoa maoni kwa ujasiri kabisa, si majanga haya. Nenda basi www.jamii.go.tz utenge muda usikilize ndiyo urudi uniTag
 
Wewe ni muhuni Unamchanganyia mafaili Dkt Gwajima. Yeye siyo waziri mkuu ama Raisi hawezi kusimamia wizara zote
 
Wewe ni muhuni
Nipe chako kwaza cha ustawi wa jamii, 😜😜

Alafu Naona kama hurudi tena wewe kwenye baraza😜😜

Mnachanganyia mafaili Dkt Gwajima. Yeye siyo waziri mkuu ama Raisi.
 
Yaani mmewaacha wahusika wa kumdhibiti utekaji mnataka waziri wa maendeleo ya jamii akadhibiti? Huu nao ni ukurupukaji! Vijana wa Tanzania hata hamjui wizara zinafanyaje kazi? Ni aibu kwetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…