Msikilize Mmasai huyu(multilingual), anaongea lugha saba za kimataifa!

Msikilize Mmasai huyu(multilingual), anaongea lugha saba za kimataifa!

Nitaokokea wapi nilipo wachungaj wote matapeli na wewe nikisema nipe namba nikupigie unipe muongozo huna muda na mimi 🤔
Kama kweli uko serious, hapohapo ulipo unaweza kuokoka. Soma uzi huu halafu uamue kuokoka. Sio lazima uwe kanisani.
 
Kama kweli uko serious, hapohapo ulipo unaweza kuokoka. Soma uzi huu halafu uamue kuokoka. Sio lazima uwe kanisani.
Kiroho nani atakuwa ananiongoza ,mimi niko serious dada wewe kuwa tayari nipe namba sikutongozi nahitaji kuanza upya sio mambo ya mapenzi kabisa
 
Kiroho nani atakuwa ananiongoza ,mimi niko serious dada wewe kuwa tayari nipe namba sikutongozi nahitaji kuanza upya sio mambo ya mapenzi kabisa
Ntakuelekeza uende kwa Mchungaji gani atakayekuongoza. Mimi sio Mchungaji. Hata ukija kwangu lazima uongozwe na Mchungaji mwingine
 
---
AI ni zana/ Tool; Ambayo sote tunapaswa kujua veyma kuitumia katika kazi zetu, na kufikisha ujumbe kama alivyofanya mleta mada.
---
Je wewe binafsi unatumia vipi AI?
Je AI imeweza kukuingizia kipato?
 
Back
Top Bottom