🤣😂🤣🤣🤣Nafikiri nilitangulia kuijua AI kabla yako
Narudia tena ni Exposure. Na itabaki kua hivyo huna hoja zaid ya fikra za kitumwa.Hahaa, lugha za makabila unalinganisha na lugha za kimataifa?
Naomba uende United Nations ukawaulize professional multilingual interpreters wanalipwa dola ngapi kwa mwezi, then utajua kama kuongea lugha nyingi ni success au exposure tu.
If that’s your final take, then hey, keep the raw ones, I’m not hungry. Some of us are already feasting on global platforms while others are still debating if the kitchen exists.Narudia tena ni Exposure. Na itabaki kua hivyo huna hoja zaid ya fikra za kitumwa.
Kama umeweza kutuletea video ya AI , ukionesha kujua ni mtu wa kweli,Sijaelewa unataka kusema nini. Fafanua vizuri
Ngoja basi nikupe siri makaveli10Kama umeweza kutuletea video ya AI , ukionesha kujua ni mtu wa kweli,
Hapa huwezi nielewa mama mchungaji
duh! yaan we vitu vyako vingi ukikutana navyo huko Wala hujiulizi mara mbilimbili.Msikilize Mmasai huyu(multilingual), anaongea lugha saba za kimataifa:
French, German, Arabic, Chinese, Hindi, Swedish and English. Clip haizidi MB 3
View attachment 3418184
kumbe ndo maana sijaisikiliza, siku nyingine uwe unaandaa vya maana basi.Sijaikopi mahali, nimeiandaa mimi mwenyewe. Huyo ni mmasai artificial.
Nachukua wapi? Hiyo video nimeibuni mimi mwenyewe tangu mwanzo na kuiedit, ili nikuvute wewe usikie Neno. Si unaona nilivyokunasa? Siku ya mwisho hutajitetea kwamba hukusikia Injili. Huyo mmasai japo ni AI aliyoongea ni Injili kamili.duh! yaan we vitu vyako vingi ukikutana navyo huko Wala hujiulizi mara mbilimbili.
unachukua tu Kam vilivyo na kuleta humu, tafadhali jaribu kuvichunguza na ujaribu kuangalia muktadha wake wa kuvileta humu.
utaaibika nakuambia, nilitaka nikuambie hili Pm ila nahisi Pm yako umeifunga.
lakini yote Tisa, kumi tafadhali naomba uje Pm Kuna jambo la itifaki nimelipa huko nikushirikishe
bahati mbaya hata sikuifungua, kwani umeambiwa ungeteneza yakuongea kipare watu wasingeelewa Hilo neno?Nachukua wapi? Hiyo video nimeibuni mimi mwenyewe tangu mwanzo na kuiedit, ili nikuvute wewe usikie Neno. Si unaona nilivyokunasa? Siku ya mwisho hutajitetea kwamba hukusikia Injili. Huyo mmasai japo ni AI aliyoongea ni Injili kamili.
hujaolewa!? sa 9 hii uko macho na unajibu comment?Nachukua wapi? Hiyo video nimeibuni mimi mwenyewe tangu mwanzo na kuiedit, ili nikuvute wewe usikie Neno. Si unaona nilivyokunasa? Siku ya mwisho hutajitetea kwamba hukusikia Injili. Huyo mmasai japo ni AI aliyoongea ni Injili kamili.
Sasa mim mpare na mswahili kwenye hiyo video naelewa Nini?Neno la Mungu halina maana kwako? Huyo Mmasai japo ni Artificial, ameongea Neno la Mungu vizuri kuliko hata mtu halisi. AI ni tool tu kama JF.
Kuna mtu alisema wapare ni wabahili. Sasa naanza kuamini. Unabania MB 3 tu? Si ufungue uone jinsi teknolojia ilivyo advance. Kha!bahati mbaya hata sikuifungua, kwani umeambiwa ungeteneza yakuongea kipare watu wasingeelewa Hilo neno?
Mimi pia najua SALAMU za lugha zaidi ya 10 za kimataifaMsikilize Mmasai huyu(multilingual), anaongea lugha saba za kimataifa:
French, German, Arabic, Chinese, Hindi, Swedish and English. Clip haizidi MB 3
View attachment 3418184
Ni kweli maana mpaka hapa Tanzania siku hizi kuna madada poa wa AI pale bungeni wakisubiri kuliwa na wabunge ili maambukizi ya ukimwi yapungue miongoni mwao. Na kwenye vijiwe vya kahawa nako hawajaachwa mbali, serikali inatarajia kumwaga / kusambaza AI wabishi toka upande wa Simba na Yanga kuja kushindana ubishi tu ili vijana waache kubishana watafute kazi za kufanya.Faida zake ni nini kujua lugha za watu zote hizo? Ukalimani siku hizi hauna dili tena, AI imechukua kila kitu..!! Hii pia sio sauti ya huyo Mmasai ni AI 100%