Msikilize Mmasai huyu(multilingual), anaongea lugha saba za kimataifa!

Msikilize Mmasai huyu(multilingual), anaongea lugha saba za kimataifa!

Pole mwanangu. We unafikiri dunia yote saa hizi ni saa 9. Rudi shuleni ukasome geography. Wewe ukilala kuna wengine wanaamka!
yaani kuwa huko kazuramimba kigoma, linakochelewa jua kuzama ndo useme uko mantoni!?
 
Ngoja basi nikupe siri makaveli10
Hiyo video ni kweli ni AI. Sijaikopi mahali, nimeiandaa mimi mwenyewe. Huyo ni mmasai artificial. Lengo langu ni ili awavute watu kusikia maneno hayo ya Injili. Si umeona watu walivyomiminika kumsikiliza? AI haina ubaya, ni tool tu ya kutusaidia kuufikisha ujumbe wa Injili kwa njia ya ubunifu zaidi. Naamini umenielewa. If not, usisite kuniuliza.
Hapo sasa umeeleweka mtumishi .
Nimekunyaka vizuri
🤝🤝🤝
 
If that’s your final take, then hey, keep the raw ones, I’m not hungry. Some of us are already feasting on global platforms while others are still debating if the kitchen exists.
Ahya tuliza.
 
Back
Top Bottom