Msijidanganye mapinduzi tanzania ni ndoto ya mchana

kingxvi

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
879
150
nimekua nikiona na kusoma mawazo ya watu mbalimbali eti oh nchi inafukuta si mda mrefu watu wanaweza ingia barabarani kama nchi za waarabu
kiukweli mapinduzi tanzania ni ndoto kama mnashindwa tu kumtoa NGEREJA na HUSSEIN MWINYI madarakani kwa uzembe wa hadharani leo hi serikali? Hamna majasili wa ivyo hapa tz
 
Lakini mkuu na wewe si ni Mtanzania?
Kwanini hizo harakati usizianzishe wewe?
 
Mkuu,
Ogopa sana kuishi kwa mazoea kwani kuna madhara makubwa,...
amini,amini_nakuambia mapinduzi yanawezekana iwapo tu trend ya maisha itakua hivi i.e hyperinflation(though it is still in the pipe/its alarming),umeme wa mizengwe,maji,huduma za afya mbovu,income inequality gap is almost un-mentionable,elimu duni,njaa,...yaan kila aina ya fujo za maisha...historia ni mwalimu mzuri na inatuambia nchi nyingi africa na ulimwenguni kwa ujumla zilikua visiwa kama si bahari za aman lakin mambo yakageuka na watu na viongozi wa nchi hizo hawakuamin kilichotokea eg:sierra leon,ivory cost etc

Ndugu yangu kitu cha muhimu na ambacho unapaswa kuelewa ni kwamba kitu pekee na cha muhimu ambacho kinamtenganisha mwanadamu na mnyama mwingine ni kwamba binadamu anaweza kubadilika kuendana na mazingira i.e kama alikua mwizi anaweza kuacha,anaweza kuacha uvivu,uzinzi,upole,uoga na mengine kama hayo.....

My take:please dont take things(live) for grant......eti hakuna watu jasiri,......usione watu wanajitoa mhanga ukafikiri walizaliwa hivyo....halafu nafikiri haujakaa chini na kutafakari hayo maandamano ya cdm yanaashiria nn kwa jamii ya ki tanzania
 
Lakini mkuu na wewe si ni Mtanzania?
Kwanini hizo harakati usizianzishe wewe?
Hata mimi namshangaa huyu mleta sred,Huyo katoka swala za ijumaa masjid nadhan badala ya kusikiliza mahubiri yeye akasikia neno la mwisho .
Kila ijumaa baada lazima JF ifukute ant-harakati
 
Hata mimi namshangaa huyu mleta sred,Huyo katoka swala za ijumaa masjid nadhan badala ya kusikiliza mahubiri yeye akasikia neno la mwisho .
Kila ijumaa baada lazima JF ifukute ant-harakati
Mkuu.
Wako waswali sala za Ijumaa CDM mkuu...usiende huko ..hata kama wanakuchokoza..au vyenginevyo unawathibitishia yale wayasemayo, kuwa CUF cha wanaoswali ijumaa na CDM cha wale wanaoswali jumapili.

Tusiwe wepesi kunasa katika mtego huu.
 
acheni kujipa imani imagnation za ndotoni hata daladala zimepanda bei mmeshindwa kugoma?
 
Wewe endelea kushindwa kusoma alama za nyakati!!!... Endelea tu!!!... at the end of the day... you'll be thunderbolted!!!
 
Mbaraka wa misri hakuyajuwa haya yaliyomtokea,Alishindwa urais kwa 90 asilimia,Je waliomtimua siyo wapiga kula au,kwa hiyo lolote laweza tokea.Kama mwanza matokeo ya ubunge nguvu ya umma ndio ilisababisha yatangazwe la sivyo jaaamaaaa angerudi mjengoni kwa grama.Watu wameandamana watu matumbo joto.
 
Sasa Mfalme wa kumi na sita (16) wewe ni Mfalme wa wapi? au ni Mswati! Kushindwa kwetu ni kushindwa kwako Mfalme.
 
Trust me mapinduz comes frm no where. kuna nchi kibao zimepinduliwa ghafla bin vuu. usidhan mapinduz lazima yawe na trend ya savimbi, nkunda au lra ya uganda. roma ilianguka sembuse tz ya kikwete!
 
Mkuu nani kakuambia mapinduzi ni lazima yawe ya mawe na bunduki? Haujawahi kusikia Orange Revolution ya Georgia au hivi karibuni tu People's Revolution ya Egypt?

Na mwisho badala ya kulalamika watu hawa fanyi chochote je wewe umesha fanya nini mpaka sasa?
 
Back
Top Bottom