Msigwa mbaroni Iringa, Apandishwa Kizimbani

Ifike mahali polisi watende haki na si kufanya kazi kama na wao ni greenguard mbona yule kijana wa chadema aliyevunjwa taya njombe watuhumiwa hawajakamatwa
 
SISIEMU Wanafanya mambo mengi ambayo hayana majibu. Wanalazimisha kupendeka wakati wananchi wamechoka na utawala wao wa kimabavu.

Siku zitasema siku moja.
 
Mch. Peter Msigwa (MP) afikishwa mahakamani mjini Iringa hivi punde, alikamatwa jana akihusishwa na uchochezi kampeni za udiwani kata ya Nduli.tutaendelea kuwajuza kuhusu dhamana yake.source mwananchi

naona magamba wameanza kutapatapa..baada ya kumnyima dhamana Mh Kasulumbayi sasa wamemgeukia Mh Msigwa. njia zote za kishetani na kibedui zinazotumiwa na magamba kufubaza nguvu ya umma zitashindwa na kulegea.
 
MSIGWA MBARONI: Polisi Iringa inamshikilia Mbunge wa Iringa Mjini, Mch. Peter Msigwa, ahusishwa na vurugu katika kampeni za udiwani Kata ya Nduli jioni hii.source mwananchi

=========
UPDATE
Hata jana Arusha tulisikia polisi wanamtafutia Mh Lema zwengwe ili wamkamate asiwepo uraiani siku ya kupiga kura Sombetini. Ila polisi wanasahau kwamba Arusha kuna Lema zaidi ya 10000
Hivyo hata Lema akamatwe leo, hakuna wa kuiba kura Sombetini. Iko siku Ccm itajua kwamba kumbe inacheza na kivuli chake. Polisi mnatia aibu. Kama mnaipenda Ccm vaeni nguo za kijani kukiko kuihadaa dunia.
 
Muda mfupi uliopita mahakama ya Wilaya ya Iringa na ile ya Kahama , wametoa haki ya dhamana kwa wabunge wa Chadema waliokuwa wameshikiliwa kwa kesi za kubambikiwa na Polisi , hii ni baada ya kutimiza masharti ya dhamana yaliyokuwa yamewekwa na mahakama,

kwa upande wa Kahama , Jamhuri imeshindwa kuithibitishia mahakama kuwa majeruhi wana hali mbaya baada ya ripoti ya daktari kuonyesha wanaendelea vizuri na wengine waliruhusiwa kuondoka tangu jana ......
 
Hata jana Arusha tulisikia polisi wanamtafutia Mh Lema zwengwe ili wamkamate asiwepo uraiani siku ta kupiga kura Sombetini. Ila lolisi wanasahau kwamba Arusha kuna Lema zaidi ya 10000
Hivyo hata Lema akamatwe leo, hakuna wa kuiba kura Sombetini. Iko siku Ccm itajua kwamba kumbe inachwza na kivuli chake. Polisi mnatua aibu. Kama mnaipenda Ccm vaeni nguo za kijani kukiko kuihadaa dunia.

Kweli tena kweli tupu mkuu
 
Msigwa ametimiza masharti ya dhamana, na yuko nje na sasa anaelekea Kata ya Nduli kuendeleza mapambano ya kampeni, Polisi wanaitafutia Chadema kura za huruma .....
 
Huyu Mchungaji inabidi sasa afungue kanisa huko jela, maana anakupenda sana.

Kama alivyosema MSALANI, hawa watu lazima kuna kitu wanachokifurahia huko, haiwezekani wawe wanapenda kwenda jela kila siku wakati wengine tunakuogopa...

Kwa takwimu zangu inaonyesha Msigwa anatumia muda mwingi kufanya vurugu kuliko kanisani
 
Muda mfupi uliopita mahakama ya Wilaya ya Iringa na ile ya Kahama , wametoa haki ya dhamana kwa wabunge wa Chadema waliokuwa wameshikiliwa kwa kesi za kubambikiwa na Polisi , hii ni baada ya kutimiza masharti ya dhamana yaliyokuwa yamewekwa na mahakama,

kwa upande wa Kahama , Jamhuri imeshindwa kuithibitishia mahakama kuwa majeruhi wana hali mbaya baada ya ripoti ya daktari kuonyesha wanaendelea vizuri na wengine waliruhusiwa kuondoka tangu jana ......

Mahakama na Polisi wajue kuwa ukombozi wa nchi hii unawahusu na wao pia. Kubambikiza kesi si utawala bora bali ni dalili za kushindwa na kuanguka kwa dola.
 
CCM huwa ni chanzo cha vurugu hasa wakiona wanaelekea kushindwa uchaguzi - na mbaya zaidi viongozi wa wilaya / mkoa pamoja na vyombo vya dola wanawalinda!!

Poleni makamanda - haya yote yana mwisho.
 
Msigwa ametimiza masharti ya dhamana, na yuko nje na sasa anaelekea Kata ya Nduli kuendeleza mapambano ya kampeni, Polisi wanaitafutia Chadema kura za huruma .....

Tutaona mengi sana toka serikali ta Ccm ila siku zao zunahesabika. Yaani Ccn kama gamjui kusoma hata picha hamuielewi??? Watanzania tumewachoka!!!! Hatutaki tena juburuzwa
 
hivi huyu ni mchungaji kweli?? Hana hekima ya kichungaji kabisa,
 
Huyu Mchungaji inabidi sasa afungue kanisa huko jela, maana anakupenda sana.

Kama alivyosema MSALANI, hawa watu lazima kuna kitu wanachokifurahia huko, haiwezekani wawe wanapenda kwenda jela kila siku wakati wengine tunakuogopa...

Kwa takwimu zangu inaonyesha Msigwa anatumia muda mwingi kufanya vurugu kuliko kanisani

Hata mandela hakuogopa jela.......kama ni kupigania maslahi ya nchi na wananchi wanaolala hoi bora anayekwenda jela kuliko wanaokesha baa
 
Huyu Mchungaji inabidi sasa afungue kanisa huko jela, maana anakupenda sana.

Kama alivyosema MSALANI, hawa watu lazima kuna kitu wanachokifurahia huko, haiwezekani wawe wanapenda kwenda jela kila siku wakati wengine tunakuogopa...

Kwa takwimu zangu inaonyesha Msigwa anatumia muda mwingi kufanya vurugu kuliko kanisani

akili yako ndio imeieshia hapo na huwezi kujiongeza,hayo yote ni madhara ya kuwa ccm hadi akili inalala kabisaaa,
 
Huyu Mchungaji inabidi sasa afungue kanisa huko jela, maana anakupenda sana.

Kama alivyosema MSALANI, hawa watu lazima kuna kitu wanachokifurahia huko, haiwezekani wawe wanapenda kwenda jela kila siku wakati wengine tunakuogopa...

Kwa takwimu zangu inaonyesha Msigwa anatumia muda mwingi kufanya vurugu kuliko kanisani
Katika kupambana kwa ajili ya wanyonge kwenda jela ni kitu cha kawaida. Hata Desmond Tutu alishawekwa jela mara tatu wakati wa kupambana kutetea Waafrika kusini weusi waliokowa wakinyonywa na kunyanyaswa na Makaburu wachache hata Mchungaji anatetea walalahoi wa nchi hii ambao CCM haiwajali.
 
Huyu Mchungaji inabidi sasa afungue kanisa huko jela, maana anakupenda sana.

Kama alivyosema MSALANI, hawa watu lazima kuna kitu wanachokifurahia huko, haiwezekani wawe wanapenda kwenda jela kila siku wakati wengine tunakuogopa...

Kwa takwimu zangu inaonyesha Msigwa anatumia muda mwingi kufanya vurugu kuliko kanisani
Chris Lukosi
===>Kwani kopolo muasi wewe umeshafungua mahabusi huko ughaibuni?
 
Last edited by a moderator:
Huyu Mchungaji inabidi sasa afungue kanisa huko jela, maana anakupenda sana.

Kama alivyosema MSALANI, hawa watu lazima kuna kitu wanachokifurahia huko, haiwezekani wawe wanapenda kwenda jela kila siku wakati wengine tunakuogopa...

Kwa takwimu zangu inaonyesha Msigwa anatumia muda mwingi kufanya vurugu kuliko kanisani
Chris mwanaume haogopi jela ukiona anaogopa juwa hana selebresheni sasa wewe mbona unaogopa ogopa shekh
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom