Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
MSIGWA MBARONI: Polisi Iringa inamshikilia Mbunge wa Iringa Mjini, Mch. Peter Msigwa, ahusishwa na vurugu katika kampeni za udiwani Kata ya Nduli jioni hii.source mwananchi
=========
UPDATE
=========
UPDATE
Mch. Peter Msigwa (MP) afikishwa mahakamani mjini Iringa hivi punde, alikamatwa jana akihusishwa na uchochezi kampeni za udiwani kata ya Nduli.
Tutaendelea kuwajuza kuhusu dhamana yake.
UPDATE
Mahakama Iringa yamuachia kwa dhamana mch. Peter Msigwa baada ya hivi punde kusomewa na kukana shitaka la kujeruhi, kesi kutajwa Machi 10, 2014.
source: Mwananchi