Msigwa mbaroni Iringa, Apandishwa Kizimbani

Msigwa mbaroni Iringa, Apandishwa Kizimbani

kuna mtu anatumia.ID yako au
ndo unaamka?
Mm nafikiri huyu Chris Lukos sijui ama hana akili nzuri au ni mburura totally. Naona hata jinsi anavyo andika ni kama amesoma shule za asante Lowasa hivyo ana kila sababu kuwasahabikia hawa mabwege wenzake...... Unisamehe ndugu.
Don't put me in your black rist, the next person to be attended as Dr. Ulimboka, Kubenea, Mwangosi and the rest.
 
Mandela hakuwa mpuuzi kama hawa wapenda attention

Juzi kubwa jinga lingine lilikuwa linazidisha muda ili likamatwe...

Mnatakiwa mfanye mambo ya kimaendeleo ili wananchi wawachague sio kufanya vurugu kama walevi wa viroba
what is viroba we zuzu!Nani asiye wajua magamba.Upepo unapo wakataa huwa mnakimbilia polisi wakamatwe wa pinzani
 
Sasa hakuna jitu lilikuwa bishi na bogus kama mandela

Waambie hawa. Wanadhani hata miaka ya 1950's Mandela alikuwa mzee kama walivyo muona wakati huu ametoka jela? Kwa nini Mandela aliamua kuwa vilevile Bondia? Ili mtu akileta za kuleta ni ngumi tuu. Mbona siasa za Chadema katika ukombozi huu ni za kostaarabu sana ukitaka kulinganisha na ANC Wakati wa ukombozi wao?
Kwa taarifa yao hawa mbulula ANC haikuwavumilia wanaosaliti chama hata kidogo,kumbuka kesi za mauaji na utesaji za Winnie Mandela. Lakini leo hii mtu anasaliti chama ambacho kuna watu wamepoteza maisha na wengine kupata vilema kwa kukipigania na bado anatamba mitaani, anaitisha Press conf. Au wengine wanajitanua kwenye mitandao na matusi kibao.
Siku Chadema ikiamua kufuata sera za Mandela za wakati ule hapatoshi hapa,kama Kaburu mwenyewe alizima zake sembuse CCM.
 
Mch. Peter Msigwa (MP) afikishwa mahakamani mjini Iringa hivi punde, alikamatwa jana akihusishwa na uchochezi kampeni za udiwani kata ya Nduli.

Tutaendelea kuwajuza kuhusu dhamana yake.

source: Mwananchi
 
Mch. Peter Msigwa (MP) afikishwa mahakamani mjini Iringa hivi punde, alikamatwa jana akihusishwa na uchochezi kampeni za udiwani kata ya Nduli.tutaendelea kuwajuza kuhusu dhamana yake.source mwananchi

Na afungwe tu huyu mchungaji fake. Mchungaji wa kiroho hawezi kuwa na tabia za ajabu ajabu
 
Usahihi wa taarifa, Msigwa halafu gulugwa mashitaka ya uchochezi ila kufungulia shitaka la kujeruhi mwili, eti jana kuna mtu alienda kwenye mkutano wake wa kampeni akiwa amevaa nguo - za CCM , alipozuiliwa na Red Brigade , aliendaolisi na kusema amepigwa na Msigwa kwenye mkutano wa hadhara....Msigwa alikuwa anahujumu a wala hukuona tukio hilo....ni aibu ya Polisi...
 
kutafutwe njia ya kutatua haya matatizo na sio kupeleka watu kila mara polisi la sivyo itakuwa ni kuwajengee ujasiri na kujiamini zaidi kama ilivyo kwa Arusha.
Mch. Peter Msigwa (MP) afikishwa mahakamani mjini Iringa hivi punde, alikamatwa jana akihusishwa na uchochezi kampeni za udiwani kata ya Nduli.tutaendelea kuwajuza kuhusu dhamana yake.source mwananchi
 
wanasiasa wetu wajijengee utamaduni wa kujisomea, la! sivyo watajikuta wanahitaji umaarufu ila kichwani hamna concept mpya.bas watakuwa hawana la ziada zaidi ya kufanya 'Power politics'
 
Msigwa amekamatwa kwa kosa la uchochezi, ebu tujiulize hawa waliofanya makosa yafuatayo walikamatwa?
1. Wale waliomshambulia Mh. Nassary Pale monduli ambao hadi majina yao yalitajwa na aina na No. za Magari pia.
2. Wale waliowashambulia wabunge wa CDM kule Mwanza
3. Wale waliolipua mkutano wa CDM pale soweto
4. Tumesikia matukio kadhaa ya kuumizwa wafuasi wa CDM pale Sombetini Arusha je yupo aliyekamatwa?
Hayo ni machache niliyoyaorodhesha kama mfano lakini yapo matukio mengi kuzidi maelezo lakini hakuna hatua zilizochukuliwa juu ya waharifu hao, hapa ndipo tunapozidi kujiuliza juu ya utendaji wa hili jeshi la Polisi hapa nchini. Na hii wanatakiwa watambue hawa polisi hawapo juu ya uwezo wa Mwenyezi mungu na iwapo sisi kama binadamu hatuwezi kulipiza udhalimu huu Mungu hutoa hukumu hapa hapa duniani juzi polisi 5 wamekanyagwa na Basi na kufa wote pale Dodoma na hizo ni miongoni mwa adhabu za Mungu juu ya udhalimu hapa duniani.
** Ninachoshauri wafanye kazi bila kuegemea upande wowote na hapo Mungu atawalinda lakini tofauti na hapo adhabu hizi zitaendelea kuwatafuna kila siku**
 
Aliye post uzi wala hajafafanua sababu zakukamatwa,mnakazana Msigwa mhuni.Nijambo lililo wazi polisi wanawasaidia maccm.Ni zuzu tu ambaye hajui hilo
 
Huyu anafanya uhuni wake na kujificha nyuma ya kivuli cha uchungaji, sheria ichukue mkondo wake ili kudumisha amani ya nchi.
 
Wakuu nilinimliona mbunge wa ccm anakamatwa?Au mnafikiri hawafanyifunyi fujo
 
Usahihi wa taarifa, Msigwa halafu gulugwa mashitaka ya uchochezi ila kufungulia shitaka la kujeruhi mwili, eti jana kuna mtu alienda kwenye mkutano wake wa kampeni akiwa amevaa nguo - za CCM , alipozuiliwa na Red Brigade , aliendaolisi na kusema amepigwa na Msigwa kwenye mkutano wa hadhara....Msigwa alikuwa anahujumu a wala hukuona tukio hilo....ni aibu ya Polisi...

Huyu bila shaka alitumwa na aje afanye vurugu.
sidhani kama Msigwa anaweza kushuka toka jukwaani na kwenda kupiga raia chini.
 
kesi za kisiasa hazinaga issue
_polisiccm waliniacha hoi walivyomchukua kwa mbwebwe mbowe dar kwa helkopta na magari kibao na kesi sijui iliishia wapi
 
Mch. Peter Msigwa (MP) afikishwa mahakamani mjini Iringa hivi punde, alikamatwa jana akihusishwa na uchochezi kampeni za udiwani kata ya Nduli.tutaendelea kuwajuza kuhusu dhamana yake.source mwananchi

Funga hilo nafiki sana na uchochezi amewajaza wananchi chuki moyoni
 
Back
Top Bottom