Lokissa
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 7,445
- 2,509
unajua maana ya rule of law? every one must be treated equally and no one is abaove the law... sasa utetezi wako siulewi,kwa ufupi Tanzania haiko hivo, sheria zipo kuwagusa wengi na kuwaacha wachache ndio kama nilivosema angekuwa CCm asingeguswa kwa vile hatuna utawala wa sheria kivitendo..kama sasa tunaona wazi namna wapainzani wanavokandamizwa na polisi..hata hvo wa kuwachukulia hatua CCM ndio hao hao poliCCM watadhubutu wakati mkuu wao ana maagizo tofauti? ni kwanini basi wachukuliwe hatua wapinzani pekee na sio CCM? mauaji ya mwangosi,vifo vya wahanga wa mabomu Arusha,olasiti na mkutano wa chadema,mauaji ya mafanyabiashara Morogoro nk nani kachukuliwa hatua? unazikumbuka kauli za Nchimbi kuhusu hayo? laana imemtafuna apunzike huko aliko-------panua ubongo kidogo kufikiri zaidi usiongee kinadharia wakati unaelewa yanayotendeka nchini
Sidhani kama hao wa CCM wapo kama hawa MAKAMANDA, matusi, uvunjifu wa sheria nk. Hata hivyo, utetezi wa mbona fulani hakuchukuliwa hatua kwa kufanya kosa hili, kisheria haupo. Kama umefanya kosa lazima uchukuliwe hatua tu. Siasa ziwe za kistaarabu. Tupo wengi ambao huenda tungependa mageuzi, lakini ukweli kwa utamaduni wa Watanzania sidhani kama mbadala ya CCM ni CHADEMA. Fanyeni siasa za kistaarabu wengi watakuja lakini kwa sasa hivi sidhani.
ya Hapana usifanye kosa eti