Msigwa mbaroni Iringa, Apandishwa Kizimbani

Msigwa mbaroni Iringa, Apandishwa Kizimbani

Viongozi wa CHADEMA bila kufanya vurugu za kitoto huwa wanakosa raha sana.

Wananikumbusha wanawake wa kabila moja ra kaskazini wao bira kupigwa huwa wanaona hawapendwi
Mfano wako not relevant kwa issue hii..... kwa hao wanawake, unamlaumu mpigaji au mpigwaji..???
 
mkuu kinachonifanya niwadharau ni utendaji kazi wao usiotumia weledi na utambuzi.
wotendio tumepigika lakini nimekula kula shule siishi kama wao
hizo rushwa wanazokamata barabarani na kubambikizia watu kesi ni sawa na kuomba chumvi baba
tena omba ya lazima.
wao amri yoyote wanatekeleza ili maradi wanapewa allowance.

Lokisa! Naona unashusha verse za kufa mtu. Kea hyo kamaaisha yao duni ndo iwe mwiko kumkamata mhalifu? Au kwa kuwa mbunge wa CDM?

Halafu hao unaowadharau kiasi hicho lini wamekuja kwako kuomba chumvi, unga, nyama na vitu vingine ili waishi?

Hebu tuwekee mshahara wako tuone kama unatofauti na kada nyongine za serikali.
 
Hata kwa avatar yako inaonyesha unavuta ganja toka utotoni, hiyo bulungutu utapata wapi zaidi ya kujipa high kama Jah People.

ha ha ha ha............... haya bwana...ila usikijudge kitabu kwa kuangalia cover lake
 
Mtakavyochukua nchi mtakuja na polisi wenu? Haya ndiyo niliyoyasema hapo awali, CHADEMA haina nia ya kuchukua nchi, hata wakifanikiwa watapata shida sana. Wamegombana na kila taasisi, Usalama wa Taifa, JWTZ, Polisi, Mahakama na viongozi wengine wa kiserikali na taasisi. Hapo nia ya kusonga mbele ipo? kumbuka hawa sio wanasiasa na huwezi kuwafukuza wala kuwabadili kama wakuu wa Wilaya. My take, Utii wa sheria bila shuruti.

p
hata mandela alifungwa na kupata mateso makali
hao poliCCM wanfanya kazi kama mbwa akiambiwa kimbia kule anakimbia bila kujiuliza ni kwa faida gani
maisha yao ni ya dhiki wanaishi vijumba vya mabati wanategemea rushwa ili wasonge mbele
nadhani pia elimu yo wengi ni form 4 failures na 6 na wale wa std 7 wa zamani
bado tuna safari ndefu
 
Itakuwa kuna kaburudani wanapewa huko sero, sio bure! hata LEMA anapapenda sana.

Kweli jina lako linaonesha jinsi ulivyo...akili yako imejaa vile vitu vinavotoka MSALANI...
 
Wanajisahau sana. Ngoja wakumbushwe kuwa hii nchi ina wenyewe.
nilikuwepo pale nduli jana nilikimbia baada ya fujo kuanza ni hivi mtu aliye valia nguo za ccm alivamia mkutano na kuanza kupiga makelele kuwa mwenye uwezo amguse wakati huo msigwa alikuwa akihutubia kwa kweli ccm ni wagomvi sana na kwa taarifa yenu watu wameichoka sana hapa nduli na imekuwa ahueni kwa diwani wao kufariki na wameapa kutokurudia makosa yao ya 2010.
 
Hili JIZI(LUKOSI)sijui limeolewa na nani?kwa nini mume wake akae kimya kiasi hiki?limetuchosha hili niga na jizi la RAMBIRAMBI.
 
Mandela hakuwa mpuuzi kama hawa wapenda attention

Juzi kubwa jinga lingine lilikuwa linazidisha muda ili likamatwe...

Mnatakiwa mfanye mambo ya kimaendeleo ili wananchi wawachague sio kufanya vurugu kama walevi wa viroba



"We ni mfa maji kamwe utabaki kutapatapa"
 
Wanajisahau sana. Ngoja wakumbushwe kuwa hii nchi ina wenyewe.

Hata wana Waisrael japo walipewa nchi kwa mbwembwe nyingi sana, mpaka raia wa mataifa husika kupigwa mpaka na mawe kutoka Mbinguni lakini leo hii tunapojadiri hapa hakuna anayejua wako wapi sababu waliishia kupigwa na kuwa watu kuhangaika huku na huko dunia nzima.

Wakati wenu na nyie ndo huu umefika.Inshalah kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu hivi karibuni ni nyie mtakaokuwa mkishinda mahakamani kusalimia ndugu zenu wakitokea mahabusu.

walah, mtaiona hii ardhi ni chungu.
 
Wewe wanawake gani hao ambao wanafananishwa naviongozi wa Chadema?,acha matusi na dharau wewe mtanzania feki,ama na wewe ni gamba nini,au umekosa cha kuongea,ama mawazo yako na ueledi wako uko makalioni,kuwa na staha na watu wakuzungukao,usilopokelopoke,hata wewe umezaliwa na mwanamke kama hao wanawake wa hilo kabila unalo likosoa la kaskazini,kafunzwe staha upya kwenu mwana mlopokaji usie na maadili
 
Kila kitu kina mwanzo na mwisho,Chadema ndi vuguvugu la mabadiliko chanya hapa nchini kwetu,hao viongoz wa Chadema si leo kuanza kuandamwa,ila sijawahi kusikia viongoz wa ccm kukamatwa na huwa na makosa makubwa na mengi tu!,au ni kwakua ccm ni chama tawala,hakuna marefu yasiyo na ncha na mwisho wao umewadia,watajuta na ukijielewa mara nyingi utaonekana mkorofi,hasa unapoanza kuitambua haki yako,kijana amka okoa taifa lako lisiangamie!.
 
mimi siko chadema
pili ujue polisi wanafanya kazi za siasa za chama tawala
hata Jk aliwasuta CCM waache kutegemea polisi wajibizane wenyewe na chadema..
unaishi nchi gani hujui yanayoendelea tanzania kati ya polisi na wapinzani?
hujui PoliCCM ni watu gani?? aisee tuna safari ndefu ya kufundisha watu utambuzi wa haki zao na maouvu ya wanasiasa
Mtakavyochukua nchi mtakuja na polisi wenu? Haya ndiyo niliyoyasema hapo awali, CHADEMA haina nia ya kuchukua nchi, hata wakifanikiwa watapata shida sana. Wamegombana na kila taasisi, Usalama wa Taifa, JWTZ, Polisi, Mahakama na viongozi wengine wa kiserikali na taasisi. Hapo nia ya kusonga mbele ipo? kumbuka hawa sio wanasiasa na huwezi kuwafukuza wala kuwabadili kama wakuu wa Wilaya. My take, Utii wa sheria bila shuruti.

p
 
Ni kweli lakini hakuna haki bila wajibu ndugu yangu. Hivi kama si ubabe ninini? mtu atazidishaje muda aliyopangiwa kuhutubia/ Sasa wewe unataka achwe tu. Akiulizwa utaambiwa eti wapinzani wanabanwa. Utatoaje matusi na lugha za uchochezi halafu auchwe, ukiulizwa eti pinzani wanabanwa. Tuheshimu sheria tunazozitunga wenyewe. Fuatilia kesi zoote zinazohusisha hao MAKAMANDA wa CHADEMA, utagundua mengine ni ya kujitakia tu.

mimi siko chadema
pili ujue polisi wanafanya kazi za siasa za chama tawala
hata Jk aliwasuta CCM waache kutegemea polisi wajibizane wenyewe na chadema..
unaishi nchi gani hujui yanayoendelea tanzania kati ya polisi na wapinzani?
hujui PoliCCM ni watu gani?? aisee tuna safari ndefu ya kufundisha watu utambuzi wa haki zao na maouvu ya wanasiasa
 
Tatizo la polisi wa tanzania hawatendi haki.. Angekuwa ni kiongozi wa ccm wala asingeguswa.leo nape katoa amri green guard waanze kuwashughulikia wapinzani... Hatufiki popote....
ni kweli lakini hakuna haki bila wajibu ndugu yangu. Hivi kama si ubabe ninini? Mtu atazidishaje muda aliyopangiwa kuhutubia/ sasa wewe unataka achwe tu. Akiulizwa utaambiwa eti wapinzani wanabanwa. Utatoaje matusi na lugha za uchochezi halafu auchwe, ukiulizwa eti pinzani wanabanwa. Tuheshimu sheria tunazozitunga wenyewe. Fuatilia kesi zoote zinazohusisha hao makamanda wa chadema, utagundua mengine ni ya kujitakia tu.
 
Sidhani kama hao wa CCM wapo kama hawa MAKAMANDA, matusi, uvunjifu wa sheria nk. Hata hivyo, utetezi wa mbona fulani hakuchukuliwa hatua kwa kufanya kosa hili, kisheria haupo. Kama umefanya kosa lazima uchukuliwe hatua tu. Siasa ziwe za kistaarabu. Tupo wengi ambao huenda tungependa mageuzi, lakini ukweli kwa utamaduni wa Watanzania sidhani kama mbadala ya CCM ni CHADEMA. Fanyeni siasa za kistaarabu wengi watakuja lakini kwa sasa hivi sidhani.

ya Hapana usifanye kosa eti
Tatizo la polisi wa tanzania hawatendi haki.. Angekuwa ni kiongozi wa ccm wala asingeguswa.leo nape katoa amri green guard waanze kuwashughulikia wapinzani... Hatufiki popote....
 
"Nilifikiri Msigwa ni mchungaji kumbe ni sawa na wahuni wengine tu " Samuel Sitta
 
Back
Top Bottom