hapo bado UKAWA
Yes hospital nzuri,na yy alishiriki kupeleka vitanda,wamama wasilale chini
Kama Kibajaji
Jimbo lishaondoka hilo, hakuna alichokifanya cha maana kwa muda wa miaka mitano, yeye aendelee na kazi yake ya zamani ya kulisha Kondoo wa BWANA, hiyo ndio inamfaa!
Na jamaa yako wa maamuzi magumu aliyefanyiwa maamuzi mepesi alikuwa anaitisha mikutano pia
Hivi kwa 'nyomi' yote hiyo aliyoipata Mchungaji Msigwa, bado Sisiemu wanaota ndoto za mchana na kujifariji eti wataligomboa jimbo hilo la Iringa mjini.
Duh!alf huyo ni mbunge tu wa kawaida....hongereni Iringa Msgwa bado anahitajika sana bungeni
Mashule alirekebisha mengi, Barabara za ndani na pia alitatua kero za maji katika baadhi ya maeneo kwa kiasi kikubwa.
2010 alishinda kwa tofauti ya kura 1000+
2015 anashinda kwa tofauti ya kura 27000+
PSM HANA MPIZANI IRINGA MJINI.
Wana Iringa badala ya kufanya kazi wanaenda kumshangaa Msigwa.. Ningekuwepo hapo ningewatandika viboko waache uvivu
Pamoja wakuu katika mabadiliko.Watu wa Iringa mpeni tena mheshimiwa Mchungaji Msigwa miaka mitano ili aweze kuwatumikia tena
Nmesikia kuna muimba injili anagombea pale anaitwa Ado Novemba
Alichofanya kiko wazi ila si mbaguzi,kwani kuna vipofu kama wewe mliojaa ukurutu ndo anataka kuwahabarisha maana hata punda wameona na kuzungumza lakini kwa vile mmeweka pumba na pamba masikioni hamtaki kusikia wala kuona.Kama alifanya mema hakuwa na haja ya kuitisha mkutano tena wa kusema alichokifanya, kwani kingeonekana!
Chama gani?
Ha ha siasa bana... na wale wa geita na chato walioenda kumshangaa magufuli si ungewalamba mijeledi kabisa...Wana Iringa badala ya kufanya kazi wanaenda kumshangaa Msigwa.. Ningekuwepo hapo ningewatandika viboko waache uvivu