mama yuva
JF-Expert Member
- Aug 3, 2010
- 225
- 47
Na nyie lazima muwepo tu. Sishangai lakini. Ndio hivyo tena.Msigwa ni mropokaji sana.. Hakuna alichofanya Iringa
Na nyie lazima muwepo tu. Sishangai lakini. Ndio hivyo tena.Msigwa ni mropokaji sana.. Hakuna alichofanya Iringa
Utasema tu. kwa hiyo na mwl mkuu wa shule hana haja ya report matokeo yakitoka? this is bullshit!Kama alifanya mema hakuwa na haja ya kuitisha mkutano tena wa kusema alichokifanya, kwani kingeonekana!
huyu jamaa naye huwa haeleweki kila sehemu anataka kugombea na kuongoza...chama wa wasanii yupo...wasanii wa injili yupo...chama cha wanasheria huwa anagombea lakini huwa anakosa...anapenda sana kuongoza lakini nafikiri hana bahati na uongozi..........
Hivi Mkuu bahati Bukuku na promo lake kwa Lowassa mpaka na nyimbo katunga ameishia wapi?
Jimbo lishaondoka hilo, hakuna alichokifanya cha maana kwa muda wa miaka mitano, yeye aendelee na kazi yake ya zamani ya kulisha Kondoo wa BWANA, hiyo ndio inamfaa!