Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Ha ha siasa bana... na wale wa geita na chato walioenda kumshangaa magufuli si ungewalamba mijeledi kabisa...
Atawapaje vibao wakati ni magamba wenzake
Ha ha siasa bana... na wale wa geita na chato walioenda kumshangaa magufuli si ungewalamba mijeledi kabisa...
hatuwezi kukaa kimya katika hili moja kati ya mambo ambayo tulifanya kwa usahihi mkubwa kabisa ni hili la kumchagua Msigwa na kwa sauti KUBWA KABISA TUNASEMA 2015 MSIGWA TENAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Hongera Msigwa,Makufuli akija hapo apige hodi kwanza.!
Watu kama mchanga wa bahari, mwaka huu wenu CDM hata iweje
Niletee mkuu,,,wewe si bado uko hapo
Kama alifanya mema hakuwa na haja ya kuitisha mkutano tena wa kusema alichokifanya, kwani kingeonekana!
Hiyo BaraBara imejengwa na Magufuli?
Ni katika mkutano uliofanyika Leo 19/7/2015.Mkutano ulikuwa wa kuwashukuru wananchi kwa kumchagua na kuwataarifu wananchi mambo aliyoyafanya kwa miaka mitano ya uwakilishi wake.
Umtandike nani wewe wakati mwenyewe usha tandikwa monduli,simiyu,geita na kahama
SHETAN KAFANIKIW SANA kumkamata mchungaj msigwa mpaka kasahau kaz ya BWANA aliyoitiwa na sasa anapambana na UFALME WA ULIMWENGU huuu... MCHUNGAJ KOKO MWENYE TAMAA YA PESA HAFAI HATA KUITWA MCHUNGAJI...anatia aibuu