Msigwa afunika Iringa Mjini

Msigwa afunika Iringa Mjini

Jimbo lishaondoka hilo, hakuna alichokifanya cha maana kwa muda wa miaka mitano, yeye aendelee na kazi yake ya zamani ya kulisha Kondoo wa BWANA, hiyo ndio inamfaa!

Mlitaka ahamishe ardhi?Msigwa anakusanya kodi?kama serikali ya ccm haijapeleka hela za miradi mlitaka afanye nini?
 
Mbona kinana alizunguka ncli nzima kueleza alichofanya Kikwete? Mbona serikali walikuwa wanaitumia Tbccm kueleza walichofanya kwani hatuoni? Wivu huo.
Hahaha! Hakika kamanda! Lakina usishangae hao ni wepesi wa kusahau wamekaa kama kuku.
 
Eeh!! Vitanda tu? Barabara, mashule, viwanda na maji je?

Mashule alirekebisha mengi, Barabara za ndani na pia alitatua kero za maji katika baadhi ya maeneo kwa kiasi kikubwa.
2010 alishinda kwa tofauti ya kura 1000+
2015 anashinda kwa tofauti ya kura 27000+
PSM HANA MPIZANI IRINGA MJINI.
 
attachment.php


attachment.php


attachment.php
 
Iringa Manispaa waliojandikisha Ni 100,000 hao wanaweza kuwa watu wangapi waliobaki nje ya uwanja ni wangapi?
 
msigwa atosha kabisa kwa iringa...
Hivi kwa 'nyomi' yote hiyo aliyoipata Mchungaji Msigwa, bado Sisiemu wanaota ndoto za mchana na kujifariji eti wataligomboa jimbo hilo la Iringa mjini.
 
Duh!alf huyo ni mbunge tu wa kawaida....hongereni Iringa Msgwa bado anahitajika sana bungeni
 
Kama alifanya mema hakuwa na haja ya kuitisha mkutano tena wa kusema alichokifanya, kwani kingeonekana!

Lizima atwambie wananchi wake.hasahasa CCM wanaombeza sana Msigwa kuwa haja Fanya kitu.!
 
Iringa Manispaa waliojandikisha Ni 100,000 hao wanaweza kuwa watu wangapi waliobaki nje ya uwanja ni wangapi?

CCM mna vituko mweeee!! Mdomoni mnadharau Msigwa hajafanya kazi, ila mioyoni mwenu roho zinawasuta na wengine kufikia october 25 mtakuwa mmekufa kwa presha. Kama unajua hesabu ulitakiwa ufanye hesabu upate ratio ya wanaohudhuria kwa Msigwa na wanaohudhuria kwa mikutano yenu ya CCM. mbao hawajahudhuria hata kama hawajahudhuria mioyo yao iko kwa Msigwa, over. Mimi ni mmoja wa watu ambao hawakufika uwanjani leo, lakini story ya Msigwa leo imekuwa gumzo kila upande wa mji wa Iringa. Wanamjua Msigwa tuu, wengine mtasubiri sana
 
Hivi kwa 'nyomi' yote hiyo aliyoipata Mchungaji Msigwa, bado Sisiemu wanaota ndoto za mchana na kujifariji eti wataligomboa jimbo hilo la Iringa mjini.

Nyomi haipigi kura usikariri wewe. Wengi wao hapo hata vitambulisho vya kupigia kura hawana.
 
Pamoja wakuu katika mabadiliko.Watu wa Iringa mpeni tena mheshimiwa Mchungaji Msigwa miaka mitano ili aweze kuwatumikia tena
 
Wana Iringa badala ya kufanya kazi wanaenda kumshangaa Msigwa.. Ningekuwepo hapo ningewatandika viboko waache uvivu
 
Back
Top Bottom