Msigwa afunika Iringa Mjini

Msigwa afunika Iringa Mjini

Iringa mjini mwaka huu kumekucha
ImageUploadedByJamiiForums1437375640.738000.jpg
 
Mbunge wa CHADEMA tu kawakusanya watu hivi.... Hii nchi imeenda... BVR inawazika ccm mwaka huu
 
Asiyesoma alama za nyakati anaweza kudhani wana Iringa ni wajinga sana walipoamua kumchagua Msigwa,kuna mengi ya maana ambayo yamefanyika kupitia kwake kitu ambacho ilikuwa ni shida sana wakati yupo mbunge wa CCM.
 
Kama alifanya mema hakuwa na haja ya kuitisha mkutano tena wa kusema alichokifanya, kwani kingeonekana!

Ahaaa, hebu kila mmoja apewe nafasi stahili bhana. Ina maana Rais Kikwete alipokuwa anatoa taarifa ya kazi alizofanya katika ule mkutano pale Dodoma alifanya makosa kuyasema katika ule mkutano ? Maana kwa jinsi hiyo hata yeye watu wangekuwa wameona mambo aliyofanya, hivyo, hakukuwa na maana ya kuyasema katika ule mkutano.
 
Huwa maccm hawakumbuki malais kayika kusahau.
 
Nyomi haipigi kura usikariri wewe. Wengi wao hapo hata vitambulisho vya kupigia kura hawana.

Nadhani wewe ndio ambae umekariri.. Endelea kukariri vivyo hivyo..

Mkuu huyo jamaa kachungulia akajigundua hata huko ccm yenyewe hawezi kupenya kwa sababu hela zake za kubeba box hazijatosha.. Na anajua ccm bila ya njuluku huchaguliwi na chama kugombea nafasi yeyote ile.. Anajuta sasa kwa kukubali kutumika kwa ujira wa ahadi za uongo..
 
Iringa mjini mwaka huu kumekucha
View attachment 269615

huyu jamaa naye huwa haeleweki kila sehemu anataka kugombea na kuongoza...chama wa wasanii yupo...wasanii wa injili yupo...chama cha wanasheria huwa anagombea lakini huwa anakosa...anapenda sana kuongoza lakini nafikiri hana bahati na uongozi..........
 
nyie CCM subirini dodo kwenye mtende
MSIGWA ndo ashapita hvyooo
 
Back
Top Bottom