Kama alifanya mema hakuwa na haja ya kuitisha mkutano tena wa kusema alichokifanya, kwani kingeonekana!
Una wivu wa kike (by JK)
Kama alifanya mema hakuwa na haja ya kuitisha mkutano tena wa kusema alichokifanya, kwani kingeonekana!
Wapiga kura hawawezi jua ktk jimbo zima kwa ujumla nini kimefanyika.HAwana resources za kujua ujumla wa jimbo.Kama alifanya mema hakuwa na haja ya kuitisha mkutano tena wa kusema alichokifanya, kwani kingeonekana!
Mkuu nasikia wamemsifu bila yeye kusingekuwa na barabara ya Iringa - Dodoma pamoja na hospitali moja hivi imejengwa mitaa ya frelimo
Kama alifanya mema hakuwa na haja ya kuitisha mkutano tena wa kusema alichokifanya, kwani kingeonekana!
Kama alifanya mema hakuwa na haja ya kuitisha mkutano tena wa kusema alichokifanya, kwani kingeonekana!
Mkuu nasikia wamemsifu bila yeye kusingekuwa na barabara ya Iringa - Dodoma pamoja na hospitali moja hivi imejengwa mitaa ya frelimo
Kama alifanya mema hakuwa na haja ya kuitisha mkutano tena wa kusema alichokifanya, kwani kingeonekana!
Msigwa ni mropokaji sana.. Hakuna alichofanya Iringa