The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 4,214
- 6,348
Ivi huu ugomvi wa Toyota harrier vs Subaru utaisha lini.
HahahaaNa wewe nae n limbukeni tu asa unakuja kuripoti huku ili iweje kwa nini msingeyamaliza huko, ili tukujue unamiliki 'kigari' au
I know you see the same visionAhsante..nami nakupenda mzee wa vyura.
Unataka nini wewe mwanaume?I know you see the same vision
Nobody gon' change how I feel about you
I want to do you, whatever you want
he's the reason for the way you feelin'Unataka nini wewe mwanaume?
Una usingizi..embu lala Kwanza..he's the reason for the way you feelin'
I know what you need
Let me teach you the way you should be treated kwanzaUna usingizi..embu lala Kwanza..
Let me do it the way, know you need it to be done and we can wake up, run it back and repeat itUna usingizi..embu lala Kwanza..
mm sina hata gari na wala sina mawazo ya kununua gari ili niwapate wanawake kirahisi bali utanashati wangu na kucare ndo kutanisaidia kuwapata na naamini kupitia hivyo nitapata wanawake nitakaodumu nao kwa muda mrefuNimekwazika sana na baadhi ya wanaume washamba wa magari, wanadhani wanawake wote ni washamba wa magari. Magari siyo issue siku hizi.
Natembea zangu kwa miguu kutafuta voucher taratibu pembeni ya barabara gari nime-park sehemu. Anakuja mtu anasimamisha gari miguuni pangu kidogo anigonge mpaka nimeanguka kwa mshtuko.
Bila aibu anakuja kuninyanyua eti naomba nikupeleke unakoenda mrembo.
Nimemrabua kibao na kumwambia ampeleke mama yake. Magari ya mikopo yanawafanya mnakuwa na vidudu washa kila mwanamke mnadhani ni cheap chinese goods.
Nimemwambia yeye na gari lake wote naweza wapakiza kwenye gari yangu kigari chenyewe ni kisubaru. Nimemwambia aje nimpakize kwenye Toyota Harrier.
Wanaume acheni kudhani kila mwanamke anayetembea ni sababu hana gari au atakuwa anapapatikia magari. Huo ni ushamba, tusije vunjana miguu bure kwa mambo yenu ya kitoto. Hivi vitoto vya siku hizi havina hata busara.
Jamani. Habari zenu? Za siku? nimekuja na mahasira yangu mwenyewe hata sikusalimia.
Mwanaume unapaswa kuwa mstaarabu ndo utapata wadada wastaraabu.
Pole sana best.Alitaka kunigonga...kaja kufungia break miguuni tena upande wa kulia wa barabara hiyo yote anipe lift.sikupenda.nimemchapa kibao ajifunze ustaarabu.mi sipendi ujinga hivyoo.
Halafu baadae mnaibukia Mlima wa moto kusubiri upepo wa kisulisuliAlitaka kunigonga...kaja kufungia break miguuni tena upande wa kulia wa barabara hiyo yote anipe lift.sikupenda.nimemchapa kibao ajifunze ustaarabu.mi sipendi ujinga hivyoo.