Msidhani wote tunapapatikia hilo

Msidhani wote tunapapatikia hilo

Nimekwazika sana na baadhi ya wanaume washamba wa magari, wanadhani wanawake wote ni washamba wa magari. Magari siyo issue siku hizi.

Natembea zangu kwa miguu kutafuta voucher taratibu pembeni ya barabara gari nime-park sehemu. Anakuja mtu anasimamisha gari miguuni pangu kidogo anigonge mpaka nimeanguka kwa mshtuko.

Bila aibu anakuja kuninyanyua eti naomba nikupeleke unakoenda mrembo.

Nimemrabua kibao na kumwambia ampeleke mama yake. Magari ya mikopo yanawafanya mnakuwa na vidudu washa kila mwanamke mnadhani ni cheap chinese goods.

Nimemwambia yeye na gari lake wote naweza wapakiza kwenye gari yangu kigari chenyewe ni kisubaru. Nimemwambia aje nimpakize kwenye Toyota Harrier.

Wanaume acheni kudhani kila mwanamke anayetembea ni sababu hana gari au atakuwa anapapatikia magari. Huo ni ushamba, tusije vunjana miguu bure kwa mambo yenu ya kitoto. Hivi vitoto vya siku hizi havina hata busara.

Jamani. Habari zenu? Za siku? nimekuja na mahasira yangu mwenyewe hata sikusalimia.

Mwanaume unapaswa kuwa mstaarabu ndo utapata wadada wastaraabu.
EVERYTHING VALUABLE IS CHEAP.
 
Nadhani hoja ulizotoa zina mashiko kabisa ILA ule msukumo wa hasira uliopo ndani yako unaongea mambo mengi kuliko hata Yale wanayoyajua wale wanaokuzunguka. Natumaini LA kumchapa kibao ni geresha na sio kweli ILA kama umemchapa kweli kibao ninaweza kushawishika kukuuliza aina ya ndoto unazoota usiku.

Siku njema.

Ahsante
Nikweli alinitia khelbu kwenye hadharani, ila sikujuwa kama angekuja hadi kuntangaza huku wallahi....
 
kweli wanawake ni viumbe wenye huruma sana, hatimaye na sisi tusio na magari mmetukumbuka..
 
Yaan uingiziwe ukuni kama huu muhogo af nikupende subuutuu
Screenshot_2019-10-28-06-35-29.jpeg
 
Nimekwazika sana na baadhi ya wanaume washamba wa magari, wanadhani wanawake wote ni washamba wa magari. Magari siyo issue siku hizi.

Natembea zangu kwa miguu kutafuta voucher taratibu pembeni ya barabara gari nime-park sehemu. Anakuja mtu anasimamisha gari miguuni pangu kidogo anigonge mpaka nimeanguka kwa mshtuko.

Bila aibu anakuja kuninyanyua eti naomba nikupeleke unakoenda mrembo.

Nimemrabua kibao na kumwambia ampeleke mama yake. Magari ya mikopo yanawafanya mnakuwa na vidudu washa kila mwanamke mnadhani ni cheap chinese goods.

Nimemwambia yeye na gari lake wote naweza wapakiza kwenye gari yangu kigari chenyewe ni kisubaru. Nimemwambia aje nimpakize kwenye Toyota Harrier.

Wanaume acheni kudhani kila mwanamke anayetembea ni sababu hana gari au atakuwa anapapatikia magari. Huo ni ushamba, tusije vunjana miguu bure kwa mambo yenu ya kitoto. Hivi vitoto vya siku hizi havina hata busara.

Jamani. Habari zenu? Za siku? nimekuja na mahasira yangu mwenyewe hata sikusalimia.

Mwanaume unapaswa kuwa mstaarabu ndo utapata wadada wastaraabu.
Kweli mimi nikipita barabarani badala ya kutaka nipewe lift natamani liwe langu .
Leo kuna mwingine anaendesha kama namtaka amesubiri nimsimamishe akaona sina muda akaondoka .
Wakaka sasahivi asilimia kubwa ya wanawake na wadada tunataka vyetu.
So kusumbuliwa na watu ovyo hatuwezani na nyie poleni.
Mmechelewa kuwa na magari enzi za mwalimu.
Kipindi cha mkapa na kikwete ukisikia gari huwazi hata je saivi utawaza kwa lipi?
Gari sio lako unalipapatikia ya nini wazaga mbele unatifuliwa tifuliwa kama nyanya iliyoiva halafu unapondwa pondwa unatupwa kule wala hupewi cha maana kitu cha raha nikupata lako.
 
Mhhh
 
Naona kwenye umaliziaji umesisitiza sana mambo ya kunyanduana tupu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom