Ma Mshuza
JF-Expert Member
- Feb 26, 2019
- 251
- 1,253
Nimekwazika sana na baadhi ya wanaume washamba wa magari, wanadhani wanawake wote ni washamba wa magari. Magari siyo issue siku hizi.
Natembea zangu kwa miguu kutafuta voucher taratibu pembeni ya barabara gari nime-park sehemu. Anakuja mtu anasimamisha gari miguuni pangu kidogo anigonge mpaka nimeanguka kwa mshtuko.
Bila aibu anakuja kuninyanyua eti naomba nikupeleke unakoenda mrembo.
Nimemrabua kibao na kumwambia ampeleke mama yake. Magari ya mikopo yanawafanya mnakuwa na vidudu washa kila mwanamke mnadhani ni cheap chinese goods.
Nimemwambia yeye na gari lake wote naweza wapakiza kwenye gari yangu kigari chenyewe ni kisubaru. Nimemwambia aje nimpakize kwenye Toyota Harrier.
Wanaume acheni kudhani kila mwanamke anayetembea ni sababu hana gari au atakuwa anapapatikia magari. Huo ni ushamba, tusije vunjana miguu bure kwa mambo yenu ya kitoto. Hivi vitoto vya siku hizi havina hata busara.
Jamani. Habari zenu? Za siku? nimekuja na mahasira yangu mwenyewe hata sikusalimia.
Mwanaume unapaswa kuwa mstaarabu ndo utapata wadada wastaraabu.

nchi ambayo chura ya mwanamke inathaminika kuliko chochote