Msichana wangu hapendi kushikwa kiuno

Msichana wangu hapendi kushikwa kiuno

Katika Rrahaa duniani mojawapo hii my mupenzi akinishika kiuno na t*ko gently hivi,km tumekaa anapapasa hadi paja hiviii,
Nikisimama namtizama analeta mikono toka kiunoni hadi kwenye hips..chaa najiskiaga kupaa hivi,
oh my God I sincerely ask mpe maisha marefu this man you gave me
namshangaa huyu mwenzio nikiweka mkono anatoa.
 
Hiyo habari ya kushikana shikana public mimi mwenyewe imenishinda
 
huyo ninawasiwasi naye... niwajuvyo wasichana wengi wanapenda sana kushika hivyo....
vipi ukita kumkumbatia si ndio anapiga kelele kabisa
 
Bora hata huyo wa kwako. Mimi kuna mmoja Huyo nilimpata yaani hata kumkumbatia ilikua in shughuli pevu, alikua hataki nimkumbatie, nimshike mkono, wala kiss alikua hapendi
 
Una mshika kiuno mbele za watu na hajazoea kwan mkiwa chumbani anagoma pia? Mazingira aliyokulia sio ya kushikwa mbele za watu au ana aibu sn
 
Habari zenu wakuu,
mimi nina mchumba wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa. Lakini kuna jambo moja dogo sana ambalo kwakweli huwa simuelewi yaani hapendi nimshike kiuno kitu ambacho mimi napenda nijivunie kwake.

Yaani nikimshika tu tunapokuwa matembezi au hata kwenye tukio kama harusi huwa hapendi na anawahi sana kutoa mkono. Sasa najiuliza kwanini awe hivyo?

Na naomba niwaulize wasichana/wanawake hivi unajisikiaje unaposhikwa kiuno na mpenzi wako au mume?
Endapo ukiwa ndani hatoi mkono lakini kwenye halaiki anaondoa, jibu ni moja tu kajishikiza kwako hataki umuondoe kwenye market ya suitable bachelors. Tafute mchumba mwengine ndugu. Soon atakukana hakujui mbele za watu au akuite kaka.
 
Ukiona hivyo ujue anakukubali kiaina..siyo kivileeee
 
Habari zenu wakuu,
mimi nina mchumba wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa. Lakini kuna jambo moja dogo sana ambalo kwakweli huwa simuelewi yaani hapendi nimshike kiuno kitu ambacho mimi napenda nijivunie kwake.

Yaani nikimshika tu tunapokuwa matembezi au hata kwenye tukio kama harusi huwa hapendi na anawahi sana kutoa mkono. Sasa najiuliza kwanini awe hivyo?

Na naomba niwaulize wasichana/wanawake hivi unajisikiaje unaposhikwa kiuno na mpenzi wako au mume?
Labda
1.unanuka kikwapa/jasho kwahio hataki umsogelee
2.hakuzimii kwahio hapendi kuonekana na wewe kama wapenzi in public
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom