- Thread starter
- #161
mahari nilishatoaHajazoea huyo, cha msingi kamtolee mahari na kama bado hujapewa ujue huo mzigo ni locked
mahari nilishatoaHajazoea huyo, cha msingi kamtolee mahari na kama bado hujapewa ujue huo mzigo ni locked
hahahaa hilo nalo nenoKama kiuno anakuzuia kushika vingine unapewa kweli? Nawaza tu kwa sauti
hataki kushikwa mnapokua out tuu au hata mkiwa wenyew?mahari nilishatoa
hahahaaaa, mkuu kuhusu MCC atamckiliza KINANA atamfafanuliaauna miaka mingapi??? ivi kama unawaza haya utakua na habari kwa yaliyotokea juu ya MCC kweli?
hahahaa mkuu kumbe uekumbuka kauli ya huyu miss...anatknyeka mpk anahic kukojoa etiAnatekenyeka kama wewe ukishikwa kwenye miguu huku chini!
Kutoa mahari sio ndo umenunua bidhaa yebooo,mahari sio procument unefanya,na kumtolea mahari sio unamfanya binti wa watu unavyo jisikia hiyo ni slavery na sio mapenzi, mahari ni sehemu ya heshima katika mila zetu sio transaction[color] hiyo mkuu,mahari nilishatoa
demu wako atakataaje kumshika kiuno bhnakwanini mkuu?
Kama kusoma unashindwa....
Hata picha hauoni....![]()
lakini si inabidi nianze kumzoesha?
Mmnh.........kaka apo unaitaj ufunguo upi uelewe wew ndo ufunguke unapewa mengine kama kushika kiuno unakataliwa?mbona unaongea kwa code, vingine kama nini funguka!
Nitumie no yake ya simu nimuulize halafu ntakupa jibu!Habari zenu wakuu,
Mimi nina mchumba wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa. Lakini kuna jambo moja dogo sana ambalo kwakweli huwa simuelewi yaani hapendi nimshike kiuno kitu ambacho mimi napenda nijivunie kwake.
Yaani nikimshika tu tunapokuwa matembezi au hata kwenye tukio kama harusi huwa hapendi na anawahi sana kutoa mkono. Sasa najiuliza kwanini awe hivyo?
Na naomba niwaulize wasichana/wanawake hivi unajisikiaje unaposhikwa kiuno na mpenzi wako au mume?
Labda hata hajamuuliza muhusika ila anakimbilia kutuuliza sisi.Umewahi kumuuliza?
mi mdada wewe. teh tehKumbe wewe ni ke mkuu?