- Thread starter
- #141
mi mwenyewe namshangaaSasa siku ya harusi Mziki mtafunguaje? Maana itakuwa blues...
mi mwenyewe namshangaaSasa siku ya harusi Mziki mtafunguaje? Maana itakuwa blues...
Bikra haipo moja wewe. Shauri yakoniliwai kudo nae.
Kwanini unasema bikira?
hapanahuyo labda ukimshika kiuno ananyegeka,je mkiwa chumbani wawili anakukataza?
mara moja moja sana mkuuInasemekana kama mwanamke ajakazwa nati muda mrefu genye zote huamia kiunoni, sasa na hapo unasemaje mkuu huwa unakaza nati sawasawa au ndio wale wa tusubiri mpaka ndoa
kama ni hivyo hiyo ni 'ngumu kumesa' no body or very few'ndio watakaokubali kushikwa hivyo mbele ya hadharatukiwa kadamnasi,matembezi,sherehe au tukio fulani.
kaka huyo hakuwa mwaminifu, sasa mi nina wasiwasi na huyu.
hilo limekaa sawa .. wanaotekenyea ni watotohapana atakuwa ananyegeka
ndiyo kila mtu anasehemu yake ... anaweza mshika kiuno demu akajinyonga nyonga watu wakashangaaAnatekenyeka kama wewe ukishikwa kwenye miguu huku chini!
Staha za kiafrika, huyo ni mke mwema hataki kuiga tamaduni za wageniHabari zenu wakuu,
Mimi nina mchumba wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa. Lakini kuna jambo moja dogo sana ambalo kwakweli huwa simuelewi yaani hapendi nimshike kiuno kitu ambacho mimi napenda nijivunie kwake.
Yaani nikimshika tu tunapokuwa matembezi au hata kwenye tukio kama harusi huwa hapendi na anawahi sana kutoa mkono. Sasa najiuliza kwanini awe hivyo?
Na naomba niwaulize wasichana/wanawake hivi unajisikiaje unaposhikwa kiuno na mpenzi wako au mume?
Huku kwetu waislam tuaswa kutangaza ndoa na si uchumba,mana hayo unayoyataka wewe ni kama kutangaza uchumba,tuliaswa hivyo ili kukwepa vijicho vya binadamu mana wanaweza wakakufunga usimuoe ng'o,kila siku ukawa unajiuliza tatizo nini,HII NDO MAANA YA STARA YA UCHUMBA.naona kama ananinyanyapaa kaka.

Aiseee....!kiuno
Ingekuwa mume sawa lakin mchumba tu ni makosa, huyo bado sio mali yako, Mchumba ulie nae ana aibu, na anaoneaka pia anajielewa na anafata tamaduni hasa za kiafrica tulizo zoea, hongera kwa kupata mchumba mzuri, hakuna kitu kizuri kinachotia raha kwa mwanamke kama mwanamke mwenye "HAYA" au kuona aibu hiyo ni sfa ya mwanamke mwema.Habari zenu wakuu,