kuna ubaya gani ukijivunia mchumba wako mkuu?mbona umri wako hauendani na ulichoandika, kiafrika afrika unawezaje mshika mwenzio kiuno mchana kweupe? mbaya zaidi yeye hapendi!!
labda lakini sina uhakika sana.HAAAAKKKUUUPEEENDDDIIII!!! Yupo na wewe kupoteza upweke
mabega huwa namshika mara moja moja sana huwa anakubali lakini kiuno anatoa mkono.pia mabega hataki au ni kiuno tu....
hongera kwa kupata mwanamke anaejua nini maana ya stara, atakufaa kaka.ni kweli nataka kuoa mkuu ila huyu ndo simuelewi sijui wanawake huwa hawapendi kushikwa kiuno.
kushikwa kiuno ni upotovu wa maadili mkuu?Malezi yake yalikuwa mazuri na wasichana wa aina hiyo wanazaliwa wachache sana katika zama hizi za Instagram.
Hahahahaaaa hampi chochote except his what...???Sasa umshike kiuno kwa lipi tena hadharani? Humpi chochote except yo d.k. Unamchosha bure alivyoona ndo hayo magori 7 ya kumzeesha bure wakati humpi chochote tofauti nakumzeesha akaamua kutafta baba mlezi. Ambae anamcare na hamchoshi, nusu gori tu, laki 3. Wewe magori 7 with northing kisa umemuhaidi ndoa.
Kwaiyo koma kumshikashika mbele za watu baba mlezi akijua tutaona utakula nn.? Umesahau kodi ya nyumba inaisha mwezi ujao? Take note.

Hahahaha dahSasa umshike kiuno kwa lipi tena hadharani? Humpi chochote except yo d.k. Unamchosha bure alivyoona ndo hayo magori 7 ya kumzeesha bure wakati humpi chochote tofauti nakumzeesha akaamua kutafta baba mlezi. Ambae anamcare na hamchoshi, nusu gori tu, laki 3. Wewe magori 7 with northing kisa umemuhaidi ndoa.
Kwaiyo koma kumshikashika mbele za watu baba mlezi akijua tutaona utakula nn.? Umesahau kodi ya nyumba inaisha mwezi ujao? Take note.

Uandishi wako hatari sana mkuuJaribukumshika. Mkiwawenyewe. Akiutoamkono. Juwahakupendi. Tabiazaohaowakikupendaloloteunalofanyahatakamanibaya. Hufuraiya. Nakamahakupendihataumfanyiezurihuonakawaida
Daaah umesoma shule gani wewe?Jaribukumshika. Mkiwawenyewe. Akiutoamkono. Juwahakupendi. Tabiazaohaowakikupendaloloteunalofanyahatakamanibaya. Hufuraiya. Nakamahakupendihataumfanyiezurihuonakawaida
weweee siku hizi kuna wanaume wa aina hiiKumbe wewe ni ke mkuu?