Msichana wangu hapendi kushikwa kiuno

Msichana wangu hapendi kushikwa kiuno

huyo ninawasiwasi naye... niwajuvyo wasichana wengi wanapenda sana kushika hivyo....
vipi ukita kumkumbatia si ndio anapiga kelele kabisa
mi mwenyewe nishaanza kuwa na wasiwasi naye
 
Bora hata huyo wa kwako. Mimi kuna mmoja Huyo nilimpata yaani hata kumkumbatia ilikua in shughuli pevu, alikua hataki nimkumbatie, nimshike mkono, wala kiss alikua hapendi
kaka huyo hakuwa mwaminifu, sasa mi nina wasiwasi na huyu.
 
Una mshika kiuno mbele za watu na hajazoea kwan mkiwa chumbani anagoma pia? Mazingira aliyokulia sio ya kushikwa mbele za watu au ana aibu sn
lakini kila mtu anajua ni mchumba wangu kuna kuzoea tena hapo?
 
Mi kusema kweli nikishikwa kiuno nasikia raha zaidi yani hata mapozi yanaongezeka na mwendo huwa unabadilika wenyewee
 
Habari zenu wakuu,
mimi nina mchumba wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa. Lakini kuna jambo moja dogo sana ambalo kwakweli huwa simuelewi yaani hapendi nimshike kiuno kitu ambacho mimi napenda nijivunie kwake.

Yaani nikimshika tu tunapokuwa matembezi au hata kwenye tukio kama harusi huwa hapendi na anawahi sana kutoa mkono. Sasa najiuliza kwanini awe hivyo?

Na naomba niwaulize wasichana/wanawake hivi unajisikiaje unaposhikwa kiuno na mpenzi wako au mume?
Ulishawahi kumgegeda ama? Kuna wengne wana sitima za haraka so hataki umushike maana atajihis vibaya kabla
 
Habari zenu wakuu,
mimi nina mchumba wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa. Lakini kuna jambo moja dogo sana ambalo kwakweli huwa simuelewi yaani hapendi nimshike kiuno kitu ambacho mimi napenda nijivunie kwake.

Yaani nikimshika tu tunapokuwa matembezi au hata kwenye tukio kama harusi huwa hapendi na anawahi sana kutoa mkono. Sasa najiuliza kwanini awe hivyo?

Na naomba niwaulize wasichana/wanawake hivi unajisikiaje unaposhikwa kiuno na mpenzi wako au mume?
Mkuu labda jaribu kumshika tako achana na kiuno,
 
Yupo na China (Shanghai). ? Kama ni NDIYO basi huenda nishaelewa. Je, anapoutoa mkono huupeleka wapi.? Fuata ushike huko using'ang'anie kiuno.
 
namshangaa huyu mwenzio nikiweka mkono anatoa.
Smtym, lets say baada ya mambo hivi,muulize hivi d kwanini hupendi nikushike kiuno tukiwa out,
Kama anaona aibu mwambie asiogope awe free tu na wewe
 
Habari zenu wakuu,
mimi nina mchumba wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa. Lakini kuna jambo moja dogo sana ambalo kwakweli huwa simuelewi yaani hapendi nimshike kiuno kitu ambacho mimi napenda nijivunie kwake.

Yaani nikimshika tu tunapokuwa matembezi au hata kwenye tukio kama harusi huwa hapendi na anawahi sana kutoa mkono. Sasa najiuliza kwanini awe hivyo?

Na naomba niwaulize wasichana/wanawake hivi unajisikiaje unaposhikwa kiuno na mpenzi wako au mume?
Hao ndo wanawake wa ki analogie tafuta digital ww
 
Ni kwel unajivunia kumshika kiuno.. Lakin jaribu kujivunia jambo jingine juu yake.... Unajua maswala ya kujivunia ukiyaswitch kwenye mambo ya maaendeleo utasogea sana hapo ulipo chief.. Hii ya kushika kiuno si ya kujivunia sana mkuu
 
Habari zenu wakuu,
mimi nina mchumba wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa. Lakini kuna jambo moja dogo sana ambalo kwakweli huwa simuelewi yaani hapendi nimshike kiuno kitu ambacho mimi napenda nijivunie kwake.

Yaani nikimshika tu tunapokuwa matembezi au hata kwenye tukio kama harusi huwa hapendi na anawahi sana kutoa mkono. Sasa najiuliza kwanini awe hivyo?

Na naomba niwaulize wasichana/wanawake hivi unajisikiaje unaposhikwa kiuno na mpenzi wako au mume?
hebu weka mambo sawa,anakataa kushikwa mkiwa faragha au mbele ya kadamnasi?
 
Ni kwel unajivunia kumshika kiuno.. Lakin jaribu kujivunia jambo jingine juu yake.... Unajua maswala ya kujivunia ukiyaswitch kwenye mambo ya maaendeleo utasogea sana hapo ulipo chief.. Hii ya kushika kiuno si ya kujivunia sana mkuu
kuna muda wa kurilaksi mkuu,lazima mambo hayo yawepo,maendeleo yana wakati wake na mapenzi yana nafasi yake.
 
hivyo napewa mkuu japo mara moja moja unajua tunatarajia kufunga ndoa tena.

Wewe boya itakuwa hupewi hivyo vingine.Halafu unanipa hasira.Demu hashikwi kiuno kwa hiyari Bali unalazimisha hadi alegee.wewe boya ukute unamuuliza mpenzi wako,nikushike kiuno sasa hivi.Mapunga kama nyinyi ndiyo mnafanya tuonekane wanaume wa dar hatuna swaga.Na ningempata huyo mwanamke wako ningemzaragaza kama kiwete hadi umsahau.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom