Msichana wangu hapendi kushikwa kiuno

Msichana wangu hapendi kushikwa kiuno

Katika Rrahaa duniani mojawapo hii my mupenzi akinishika kiuno na t*ko gently hivi,km tumekaa anapapasa hadi paja hiviii,
Nikisimama namtizama analeta mikono toka kiunoni hadi kwenye hips..chaa najiskiaga kupaa hivi,
oh my God I sincerely ask mpe maisha marefu this man you gave me
 
sasa wewe vya chumbani unataka hadharani, ndo maana mkono anakukubalia, na kumbe huwa anakupa, hebu ondoa ushamba wako hapa!
 
Sasa umshike kiuno kwa lipi tena hadharani? Humpi chochote except yo d.k. Unamchosha bure alivyoona ndo hayo magori 7 ya kumzeesha bure wakati humpi chochote tofauti nakumzeesha akaamua kutafta baba mlezi. Ambae anamcare na hamchoshi, nusu gori tu, laki 3. Wewe magori 7 with northing kisa umemuhaidi ndoa.

Kwaiyo koma kumshikashika mbele za watu baba mlezi akijua tutaona utakula nn.? Umesahau kodi ya nyumba inaisha mwezi ujao? Take note.
hahaha ha.. Sawa mkuu
 
Jaribukumshika. Mkiwawenyewe. Akiutoamkono. Juwahakupendi. Tabiazaohaowakikupendaloloteunalofanyahatakamanibaya. Hufuraiya. Nakamahakupendihataumfanyiezurihuonakawaida
nitajaribu hili swala
 
Eeeeh navyopenda mimi khaa (iwe matembezi ya usiku lakini mwee), ukute mkaka ni mrefu kunizidi afu kanizungushia mkono kiunoni au mabegani mweeee, najikutaje ka-baby sasa

Inawezekana hayupo comfortable mwenzio, muelewe tu atazoea taratibuuuu
lakini si inabidi nianze kumzoesha?
 
Kwa taarifa huyo mchumba wako ni mchaga tena wa machame,vumulia tuu huwa hawapendi mambo ya kushikana ila siku hizi wanajua sana kukata kiuno,hongera sana
 
Habari zenu wakuu,
mimi nina mchumba wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa. Lakini kuna jambo moja dogo sana ambalo kwakweli huwa simuelewi yaani hapendi nimshike kiuno kitu ambacho mimi napenda nijivunie kwake.

Yaani nikimshika tu tunapokuwa matembezi au hata kwenye tukio kama harusi huwa hapendi na anawahi sana kutoa mkono. Sasa najiuliza kwanini awe hivyo?

Na naomba niwaulize wasichana/wanawake hivi unajisikiaje unaposhikwa kiuno na mpenzi wako au mume?
Labda huwa anaogopa utampandishia nyeg* maana wengine huwa Wako hivyo mkuu...ila pia ni vema kumuuliza why hapendi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom