msichana wa urembo kama wewe Lady doctor

msichana wa urembo kama wewe Lady doctor

msichana wa sura nzuri Lady doctor
kitu gani kinakufanya usiolewe

elimu unayo ya kutosha
hata ng'ambo ukaenda ukarudi

msichana wa urembo kama wewe Lady doctor
uonyeshe mapenzi kwa vijana kama Chimbuvu

ukionyesha majivuno kwa vijana kama manoah
utazeeka ukiwa nyumbani kwenu

ooh baby, miaka yaenda mbio sana
na sura yako nayo ikichuchuka

ooh baby, miaka yaenda mbio sana
na sura yako nayo ikichuchuka

pengine tabia zako ndizo mbaya
awali kweli dada ulijivuna

kwanza Arushaone alitaka akuoe
ukaringa ati hana masomo babu Bishanga ndio rika lako

ooh baby, ona watoto wa nyuma yako Passion Lady, mimisa
wameolewa wamekuwacha ukihangaika

ooh baby, ona watoto wa nyuma yako
wameolewa wamekuwacha ukihangaika

msichana wa sura nzuri
kitu gani kinakufanya usiolewe

elimu unayo ya kutosha
hata ng'ambo ukaenda ukarudi

Papaa ezali malamu te motema nalingi yo na kati ya Bukavu.. ni juu ya mapendo ndo unamwimbia ...
 
Last edited by a moderator:
Mengi utasikia,lakini mambo yetu usiyaweke hadharani,wengine amani tuliyonayo mpenzi hao wote hawana ,na kati yao upendo hakuna.
Kama ndege angani njoo kipenzi changu tuimbe wote.
Bishanga hakupendi hata siku moja,siku tumeachana ndio anachongoja ,juzi nilikosea nikakukuta unalia machozi,nilipokuomba radhi ukaelewa.


macho ya rohoni!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

bora shem wangu umemuimbia shairi
huenda akaelewa,kazi yake kuchuna kuolewa hataki
we Lady doctor twataka kula pilau bwana tumechoka!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom