msichana wa urembo kama wewe Lady doctor

baby usijali ICU leo nipo mie, so sahau kupumulia mashine nitakupeleka theater na nitakukabidhi moyo mpya

Well, nadhani Chimbuvu na Arushaone watakuwa wamekusoma njema.

Popote ulipo Kaizer, njoo watafsirie hawa almanuuna kwa kidachi labda wataelewa kwa kina. Msisitizo uwekwe kwenye red.

Thanks very much my love Lady doctor, kwa hii useful post.
 
Last edited by a moderator:
mi nilisha kuambia Chimbuvu hakufai.... We unamng'ang'ania tu cheki sasa alivyoniganda kama ruba namnasua wala hatoki

btw nimeshakamilisha report naomba baadae nikutumie

Hilo ndilo la Msingi na la Sekondari.
Ok, baadae nitakuwa ofisini.
Na muhakikishe data zote ziko sahihi.
Hv mdogo wangu Kima Mchanga na Nokla ulifanikiwa kuwakagua?
Maana miaka yote ninapowakagua wageni wa kiume huwa wananikwepa.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hilo ndilo la Msingi na la Sekondari.
Ok, baadae nitakuwa ofisini.
Na muhakikishe data zote ziko sahihi.
Hv mdogo wangu Kima Mchanga na Nokla ulifanikiwa kuwakagua?
Maana miaka yote ninapowakagua wageni wa kiume huwa wananikwepa.

hao sijawatia machoni kabisaa pamoja na Filipo nilikutana nae juzi kwenye mechi ya mpira Dos dosi akanikimbia pia namsubiri figganigga amalize msiba nimkague, mzee Mtambuzi na Mzizi mkavu wamehama kabisa nchi kuepuka kukaguliwa, king kan namsubiri amalize mitihani aje nimkague
 
Last edited by a moderator:
Nipo nimesimama na maua rose pembeni na mvinyo mwekundu,naamini punde atakuwa hapa,kwa sababu hii ni sehemu tuliyozoea kutembelea ambayo inapiga nyimbo za mapenzi.lakini kitu kimoja ukifika mlangoni yakupasa kukijua,ni kuwa nimekumiss zaidi ya dunia jinsi watakavyoweza elezea.na daima nakuwaza wewe.baby i luv u

kweli, naomba tuitunze hii siri wambea wasijue, watatuaribia ujue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom