Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
baby je katika vyote nilivyomwambia kuna uongo wowote jamani?kama nimemuonea basi makosa yawe juu yangu lakini kama nilichoeleza ni ukweli basi naomba unielewe dear jua nakupenda na hata kula sili sasa,nakula kachumbali na apertizer yote sababu ya mawazo dear,usifanye nipate vidonda vya tumbo baby nakupenda.
hebu ngoja nikufikirie kwanza!!!!!!!!