Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Mwaaaaa i luv u baby,thank you baby
na utulie sasa!!!!!!!
Mwaaaaa i luv u baby,thank you baby
pacha, kama ameacha uplay boy kweli atanioa leo leo lakini kama bado mi kumuacha sioni hasara si unajua fahari wawili hawakai zizi moja?
Bila hata engagement?
Mbona huhanipa majibu ladydoctor