Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 6,995
Last edited by a moderator:
pacha wangu Passion Lady njoo umuone shemejio anavyo tomboka kilevi mimi hoiii!!!!!!!
Hapana chezeiya mutu iliyofilisika hahahahahahaaa!!!!!!!!!!
Lazima nitaulipia huu wimbo Chimbuvu umeweza.
baby usiwe hivyo baby hata mbuyu ulianza kama mchicha.nakuomba baby gal njooo
achana nao mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani ukamuone mama.
hata useme vp baby we ndio chagua langu,ukikuta nguna usikatae,chaguo langu ni wewe
Apataye mke apata kitu chema, naye ajipatia kibali kwa Bwana... (Mit 19:22). Unywe maji ya birika lako mwenyewe, na maji yenye kububujika katika kisima chako...(Mit 5:15)
Hivi nna sababu yoyote ya kujitaja?nadhani baada ya kukuchuna sana naona umefika wakati maalum wa mimi kukutajia mume wangu japokuwa nilikuficha
copy kwa Asprin hebu nisaidie kumtajia huyo mume wangu ni nani
Nimekuelewa mkuu, lakini sina dada wala mke humu ndani na sidhani hata kama kuna ndg wa damu pia, ila hayo ni maneno kama unavyoona yanaonesha yanapotoka, na huko yanapotoka ndiko asili ya ndoa yaani ndoa ya kwanza kati ya Adamu na Hawa, na kwa kifupi napenda kuona muunganiko sahihi wenye nia na mapenzi ya kimungu, ni hivyo tu mkuu .
Hivi nna sababu yoyote ya kujitaja?
Afu leo umeniumiza sana moyo wangu...:shock:
nakupenda baby Lady doctor achana na wazee akina Bishanga wanataka kukuharibia maisha yako maana wanatumia tayari vidonge vya kuwaongezea maisha,baby come pleeeeeeaseeeeeeeunataka nini Chimbuvu? Sikuelewi ujuee
^^
We umeniita kwako,ukasema una jambo utaniambia
ukaanza kuinama,kung'ata kucha,kila nachokuuliza unaguna.
Nikashindwa kuelewa,,haya ngoja nione ujasiri wako hapa!
^^
vizuri sana ila umeshakaguliwa wewe?