msichana wa urembo kama wewe Lady doctor

swala la ukaguzi lilikuwa na thread yake na hadi chumbani nakumbuka tuliingia mimi nawe tukamalizana, nashangaa tena unalianzisha huku.

Mambo makubwa kama hayo yanazungumzwa kwa faragha kama tulivyofanya jana mimi nawe, ndio maana hata leo nilipoona huo wimbo kwamba msichana wa urembo kama lady doctor ya kwamba hana mume, nikasema acha nimuite mwenyewe aje atoe ushuhuda, maana haiwezekani kwa ukaguzi wote uliofanya usijichagulie mwenyewe tena kilicho kinono.

komaaaa kabisaa
 
hiyo pete ndiyo ninayoitaka ila ianzie na uzito wa gram 10 na kuendelea
baby wewe ni wangu achana nao hao ambao wanaoponda kuwa wewe ni kicheche,mi nataka kesho nikupeleke kwa Baba V na kamti yake ya screening nikakuvishe pete mbele yao
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom