Msichana wa mshkaji wangu amenipenda

Msichana wa mshkaji wangu amenipenda

Hata wewe hakupendi, anampenda mshkaji wako. (sio yule unaemmegea)
Duara halina mwisho, unazunguka tu.
 
Kuna msichana flani alikuwa msichana wa mshikaji wangu, kipindi yuko na jamaa mimi nilikuwa kama msuruhishi wao ikitokea wakigombana yani jamaa ananiomba nimbembeleze msichana, jamaa yeye hanaa maneno matamu. Sasa sijui nini kilitokea wakaja wakaachana.

Juzi kati huyu msichana amenitumia SMS huku akiniamnia amenimiss na maswali ya kitoto, mara wifi hajambo, mara nisalimie wifi, mara nyingine anamponda mshkaji, nikaona isiwe tabu nikamtongoza, alikubali faster kuliko nilivyotegemea, yani kuanzia juzi nammega kisela na mwenyewe amekubali mapigo yangu ila anadai wasiwasi wake ni mshikaji wangu nikamwambia tulia mshikaji hatajua labda umwambie wewe kwakuwa yuko mbali kwa sasa.

Ushauri wangu kama una msichana wako usije ukajaribu kumuomba jamaa au best yako akakusaidie kumbembeleza mkiombana kwani mwisho wa siku ni kugongewa tu.
Very Clear Shoulder To Cry Upon. Becomes A Dick to Ride On... Sema Je Ulipima Afya Maana Hali ya sasa Ni tete
 
Hahaha...! umenikumbusha. Kuna mtu na kaka yake, sasa kaka mtu akatongoza demu akatiki siku ya kula mzigo akamtuma mdogo wake akamfate amletee demu gheto. Dogo badala ya kwenda kumleta akaenda kupiga sound na kula mzigo. Bro mtu akikumbuka huwa anacheka sana, hajachukia wala nini.
 
Vitoto sijui mnakwama wapi siku hizi.
Enzi za mwalimu wangu ndimbo ukileta ujinga huu anakuita chonjo ukirudi wala hutaki ushauri.
 
Back
Top Bottom