mansuly
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 247
- 145
Umeona ni bora apige pipe alafu ampotezeeMchiz akijua atachukulia kama usalit.. umemsaliti msela
Umeona ni bora apige pipe alafu ampotezeeMchiz akijua atachukulia kama usalit.. umemsaliti msela
Hamna dawa yao ndo hyoo tu piga pita hivi hamna cha baby cjui honey nani anataka kuliwa hela usawa Huuuu *****sure, hawa wadudu huwa hawaelewek, ila na wewe mshkaji pia sio ni mhuni tu
Pointkwa ulivyohadithia unajiona bonge la dume hata uchi unaweza ukatembea
mkakati wa huyo demu ni kukuua wewe na rafiki yako
[emoji1][emoji1][emoji1] matokeo yake ni yy kumegwa kisera kama alvyomega dem wa mshikaj wakeAchana nae, ila sishangai sana. Mjomba wangu ameoa miaka mingi iliyopita ila mke wake alikua ni demu wa rafiki yake wa karibu sana na aliwahi kutambulishwa hadi kwao na wakawa wameshapanga kabisa mipango ya kuoana ila mwisho wa siku kaja kuoa msela wa karibu kabisa na bado ni marafiki wakubwa tu mpaka sasa.
Onyo: Usijaribu mchezo huo kwakuwa matokeo yake yaweza kuwa tofauti na hayo hapo juu.
Utatuelewa tuHapo ndio naposhindwa kuwaelewaga wadada
Umeona atafune tu Nyama hyoooKulaneni tu hamna jinsi aisee
Amtafune tu na mifupa asitemeUmeona atafune tu Nyama hyooo
I rily wnt to undrstnd u bt ur al the sameUtatuelewa tu
Hainaga ushemeji umeona kaah jamaa Huyu NuksiWe nae sijui hio tittle yako hujaielewa au sijui umeandika huku umevaa miwani ya jua usiku.
Kutokana na maelezo yako ww ndio umemtongoza akukubali Wew ungejiheshimu na kujua thamani ya rafki yako husingefanya unachokifanya
Ushauri makini sana huo..Kuna msichana flani alikuwa demu wa mshikaji wangu,kipindi yuko na jamaa mimi nilikuwa kama msuruhishi wao ikitokea wakigombana yani jamaa ananiomba nimbembeleze demu,jamaa yeye hanaa maneno matamu.Sasa sijui nini kilitokea wakaja wakaachana.
Juzi kati huyu demu amenitumia sms huku akiniamnia amenimiss na maswali ya kitoto,mara wifi hajamno,mara nisalimie wifi, mara nyingine anamponda mshkaji, nikaona isiwe tabu nikamtongoza!!!,alikubali faster kuliko nilivyotegemea,yani kuanzia juzi nammega kisela na mwenyewe amekubali mapigo yangu ila anadai wasiwasi wake ni mshikaji wangu nikamwambia tulia mshikaji hatajua labda umwambie wewe kwakuwa yuko mbali kwa sasa.Ushauri wangu kama una demu wako usije ukajaribu kumuomba jamaa au best yako akakusaidia kumbembeleza mkihombana kwani mwisho wa siku ni kugongewa tu.
HahahaVikongwe wenzio pia watakuwa wamekuelewa.