Msichana Miaka 25 nataka kwenda JKT

Msichana Miaka 25 nataka kwenda JKT

Kwani wewe ndio mimi au mimi ni wewe

Nishakumbia ni ndoto yangu tangu nikiwa mdogo mpk leo huwa nawish niwe hivyo na ninaipenda sema tu ni kwasababu ni muoga ndio maana nasitasita

Anyway mimi fresh from university hata graduation sijafanya siwezi kuwa na shida na kazI kiasi hicho bado nina mafuta ya nyumbani
kila la kheri,
 
Yeah na mimi ndio natafuta hiyo nafasi ya kujipambania ila niingie kwanza baba kantuma

Nasikiaa mazoezi kuna vikosi bado hawajaanza nifanyie basi kweli
hakuna cha mazoez ni kulima tuu[emoji1] connection sina mm now ila ukihitaji mawasiliano ya watu fulan upambane mwenyewe labda
 
Jeshi ni ujinga flani hivi.
Kazi yoyote ya kuvaa buti ni ya kipumbavu.
Na uhandisi wako unaenda jeshi kubana makalio , ni matumizi mabaya ya akili. Mhandisi kula raha uraiani, wajeda wakulinde usiku

Waache wameipenda wenyewe hata mimi naipenda halafu usizarau kazi za watu hiyohiyo kazi unayoizArau inakufanya uishi kwa amani Tanzania

Watu wanakulindia nchi yako unawaita wapumbafu

Sasa wakiitwa wapumbafu wewe utakosekana kweli

Kama hupendi kitu ni Bora unyamaze kuliko kukejeli kazi za wenziooo
 
Jeshi ni ujinga flani hivi.
Kazi yoyote ya kuvaa buti ni ya kipumbavu.
Na uhandisi wako unaenda jeshi kubana makalio , ni matumizi mabaya ya akili. Mhandisi kula raha uraiani, wajeda wakulinde usiku
Kwa hiyo kozi yake mwache tu aendeIla ajue Anaenda kuwa gari la jeshi.

Watakuwa wanajipimia oil watakavyo [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kwa hiyo kozi yake mwache tu aendeIla ajue Anaenda kuwa gari la jeshi.

Watakuwa wanajipimia oil watakavyo [emoji38][emoji38][emoji38]
Halafu jeshini sasa kuna reform.
Degree na diploma nyingi sasa hazitakiwi.
Utaingia kwa rushwa kama degree yako haitakiwi utalipwa sawa na mjeda wa kidato cha 4
 
Halafu jeshini sasa kuna reform.
Degree na diploma nyingi sasa hazitakiwi.
Utaingia kwa rushwa kama degree yako haitakiwi utalipwa sawa na mjeda wa kidato cha 4

Aina shida wewe Kama una connection just niingie tu jkt wewe niambie

Habari za mishahara achana nazo mimi napenda majeshii
 
Kama kichwa elezi hapo naombeni ushauri..

Tangu nikiwa mdogo mpaka namaliza form6 ndoto yangu ni. Kuwa mwanajeshi naipenda sana hiyo fani.. na ilikuwa niende nilipomaliza kidato cha 6 ila nyumbani walitaka nimalize chuo

Sasa hivi nimepata wito mno ila napata uoga tu wa zoezi ila natamani sana niende

Nachotaka kujua kwa umri nilionao kama nitaingia huko na kufanikiwa kupata ajira haswa JWTZ je nitatakiwa nikae miaka yao 6 kama navyosikia huko Hakuna kuzaa wala kuanzisha familia mpk umalize miaka yao

Hofu yangu kubwa ni kuchelewa kuanza familia Kwani sina Mtoto hata wa kusingiziwa

Wenye wanajua hayo mambo wanipe muongozo
1. Mpaka hapo kwa miaka 25 yako umeshachelewa kupata familia maana binti akikwambia ana miaka 25 unapaswa uongeze miaka 5.

2. Ukienda huko kiandae kitumbua vizuri ili kikatumike vizuri.

3. Kwenda JW siyo rahisi kama unavyofikiria.
 
1:Kila mtu Mungu alivomuandikia kuna watu wanaolewa na miaka 20 but mpk Leo hawana watoto na Kuna mtu ameolewa na 30 miaka but ana watoto so kwa hilo nimetolewa hofu

2: Kutumika ni maamuzi ya mtu

3: Sio rahisi ila kwa uweza wa Mungu I will
 
Back
Top Bottom