Msichana Miaka 25 nataka kwenda JKT

Msichana Miaka 25 nataka kwenda JKT

Kwhyo wanaoenda monduli wanakuwa na degrii ya nin?
Degree nyingi tu kama Civil engineering, mechanical engineering, Computer engineering, Electronic, Cyber n.k
Na wengine kidato cha 6 masomo ya Sayansi wanaandaliwa kupelekwa nje kusoma military science na package zake
 
Back
Top Bottom