Msichana Miaka 25 nataka kwenda JKT

Msichana Miaka 25 nataka kwenda JKT

Hongera kwakua mzalendo,kwa elimu yako jeshini unapeta,Ila ishu za Sasa lazima upitie jkt,yule jamaa aliyekutoa bikra,usije tu lipiza kisasi,ukipigwa shavu ili unageuza lingine upigwe

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee umenichekeshaaAa yule jamaa alinisaidia kutoa utepe ungekatwa na wajeda bure bure [emoji38]
 
Siku hizi mambo ni tofauti kidogo.

Unaweza ukapenya hadi JKT ila JW ndio shughuli.

Bila ko-ne-ksheni ni ngumu mno kwa sasaiv kupata bogi la JW.

Aiseeee so nisiende mpk nipate koneksheni
 
Miaka 25 unawaza kwenda jeshi?! Achana na hizo habari. Tafuta kazi au ajira utulie kujenga familia.

Kuolewa sipo tayari kwa sasa nataka kutafuta maisha kwaiyo nimeona ni bora nikayatafutie jeshini mpk nitakapokuwa tayari kuolewa [emoji853][emoji853]
 
Kuolewa sipo tayari kwa sasa nataka kutafuta maisha kwaiyo nimeona ni bora nikayatafutie jeshini mpk nitakapokuwa tayari kuolewa [emoji853][emoji853]
So kuolewa sio maisha au tukueleweje?!
 
Back
Top Bottom