mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,650
- 4,481
Kama kichwa elezi hapo naombeni ushauri..
Tangu nikiwa mdogo mpaka namaliza form6 ndoto yangu ni. Kuwa mwanajeshi naipenda sana hiyo fani.. na ilikuwa niende nilipomaliza kidato cha 6 ila nyumbani walitaka nimalize chuo
Sasa hivi nimepata wito mno ila napata uoga tu wa zoezi ila natamani sana niende
Nachotaka kujua kwa umri nilionao kama nitaingia huko na kufanikiwa kupata ajira haswa JWTZ je nitatakiwa nikae miaka yao 6 kama navyosikia huko Hakuna kuzaa wala kuanzisha familia mpk umalize miaka yao
Hofu yangu kubwa ni kuchelewa kuanza familia Kwani sina Mtoto hata wa kusingiziwa
Wenye wanajua hayo mambo wanipe muongozo