Msichana Miaka 25 nataka kwenda JKT

Msichana Miaka 25 nataka kwenda JKT

Naeleweka

Nimemaliza mwaka huu

Nimesoma Development studiea

Jkt ya mujibu nilienda form6…. Hivyo siwezi kwenda mara mbili

Kuhusu kuwaajili fresh form6 sina uhakika coz kuna wenzangu walienda huko nilipokuwa naanza chuo but wamerudi home hawajapata ajira

Mimi nilichoona nitakaa home sina mishe natafuta ajira miaka 2 ni afwadhaliii niingie huko labda ndoto zangu zaweza timia
Jeshi kuchukua watu kutoka mitaani ni nadra sana. Either uwe Doctor au Engineer, labda ningekuambia ukamuone nani.
Hapo sahau kuhusu jeshi.
 
JKT UNAENDA TU ILA NAFIKIRI NAFASI ZAKUOMBA ZINATOLEWAGA OFISI ZA MKUU WA WILAYA ....BAADA YA KUPITIA JKT NDIO UTACHAGUA MWENYEWE EITHER UPOLISI,UASKARI MAGEREZA,UHAMIAJI
 
We nae unaelewa nilichokiuliza sijasema natokea mtaani

Nimeuliza kuhusu kwenda jkt ili nipate ajira ya jwtz
 
JKT UNAENDA TU ILA NAFIKIRI NAFASI ZAKUOMBA ZINATOLEWAGA OFISI ZA MKUU WA WILAYA ....BAADA YA KUPITIA JKT NDIO UTACHAGUA MWENYEWE EITHER UPOLISI,UASKARI MAGEREZA,UHAMIAJI

Nafasi zilitoka mwezi wa nane but siku nimemaliza chuo

So vipi zinatoka lini tena awamu inginee
 
Jeshi kuchukua watu kutoka mitaani ni nadra sana. Either uwe Doctor au Engineer, labda ningekuambia ukamuone nani.
Hapo sahau kuhusu jeshi.

Hebu soma vizuri nilichouliza
Naona kama umeleta mada ambayo sijAiulizaa
 
wewe unashida ya ajira wala siyo wito kama ulivyosema,by the way miaka sita siyo mingi
 
Kwani wewe ndio mimi au mimi ni wewe

Nishakumbia ni ndoto yangu tangu nikiwa mdogo mpk leo huwa nawish niwe hivyo na ninaipenda sema tu ni kwasababu ni muoga ndio maana nasitasita

Anyway mimi fresh from university hata graduation sijafanya siwezi kuwa na shida na kazI kiasi hicho bado nina mafuta ya nyumbani
 
muelewe vizuri jamaa me nmetoka huko huko na bado nafight ,alichosema hapo ndo kinachoendelea

Nimuelewe nini sasa

Mimi nimeuliza kuhusu kwenda jkt na sio kutoka mtaani ili niajiliwe kwanza hiyo systems naijua pia sanasana wanaitwa wenye vigezo vyao Kama hivyo alivosema

Sasa mimi nauliza kwenda jkt kwenye mafunzo ya uzAlendo kama itatokea nafasi nipate Jwtz
 
ahaa kumbe unataka kwenda jkt kwanza sio kwenda jw oneway maana yy alikua anakuambia hivo sababu kuna waliosomea udokta na mainjinia wanaenda kupiga koz ya ajira ,ila nenda huko jkt ukajionee ningekua pale kikosin kangu ningekutafutia koneksheni uende babakantuma maana watu walisha ripoti vikosini wapo kipindi cha uzalendo, ukisubiri nafasi nyingine miaka itakuwa ishaenda
 
Yeah na mimi ndio natafuta hiyo nafasi ya kujipambania ila niingie kwanza baba kantuma

Nasikiaa mazoezi kuna vikosi bado hawajaanza nifanyie basi kweli
 
Back
Top Bottom