Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 5,206
- 9,696
Kwahyo akae nyumbani atulie alee watoto na familia?Jeshi sio kazi ya mwanamke. Fact!
Kwahyo akae nyumbani atulie alee watoto na familia?Jeshi sio kazi ya mwanamke. Fact!
Jeshi sio kazi ya mwanamke. Fact!
Kudos!Ndio Katiba mpya nini… duniani kote jeshi lazima liwe na mwanamke……. Hakuna kazi ya kiume wala ya kike ni vile tu tumejiwekea huo utamaduni
Fuatilia korea kusini uone maajabu
Angekusaidia Brigidea Jenerali Hasan mtu safi sana wa moyo. Ila namuonea aibu nilishampelekea kuwoambea watu mara 3. Ataniona namna gani. Ila kama una moyo ngangari nenda kaombe kuonana naye HQ ya JKT ndiye mkuu wa JKT. Waambie askari ni ndugu yako,ukifika usione aibu angua kilio na umwambie ukweli.Unacheka tena
Military uniform ni prestigious garment for hardened few humans. Sasa kama unakipenda chombo uoga na kusitasita vinatoka wapi? Pia unadai vita ni ya wanaume Sasa RTS huwa vita wanafunzwa wanaume tu? Au wewe ukiwa mujibu si uliona nini kilichopo, Subiri mwakani kuna nafasi zinatoka kwa volunteers kwa umri wako na kama una elimu ya shahada vigezo unavyo. But yapo mengineyo zingatia hilo.Kwani wewe ndio mimi au mimi ni wewe
Nishakumbia ni ndoto yangu tangu nikiwa mdogo mpk leo huwa nawish niwe hivyo na ninaipenda sema tu ni kwasababu ni muoga ndio maana nasitasita
Anyway mimi fresh from university hata graduation sijafanya siwezi kuwa na shida na kazI kiasi hicho bado nina mafuta ya nyumbani
Exactly.Halafu jeshini sasa kuna reform.
Degree na diploma nyingi sasa hazitakiwi.
Utaingia kwa rushwa kama degree yako haitakiwi utalipwa sawa na mjeda wa kidato cha 4
Hawa madogo hawataki kuambiwa ukweli.Exactly.
JKT ifutweDuu nilipita jkt nikiwa na age ya 19 nikatoka na 22 kiumri lakin mzee kimwil!!!
Thanks God nipo nilipopataka japo haikua rahis!!
Wapi842....to 844 Wana Kati 841....
Bog! Zito op muungano + kikwete 845 ya Sasa enzi hzo ITAKA sio poa ...
Maisha yangu yote sijawah sahau Yale ya jkt ...[emoji26]......fuckin life nusu inialib kisaikolojia Kaz Kaz!!!!!
Alew!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!![emoji15]
Kama kichwa elezi hapo naombeni ushauri..
Tangu nikiwa mdogo mpaka namaliza form6 ndoto yangu ni. Kuwa mwanajeshi naipenda sana hiyo fani.. na ilikuwa niende nilipomaliza kidato cha 6 ila nyumbani walitaka nimalize chuo
Sasa hivi nimepata wito mno ila napata uoga tu wa zoezi ila natamani sana niende
Nachotaka kujua kwa umri nilionao kama nitaingia huko na kufanikiwa kupata ajira haswa JWTZ je nitatakiwa nikae miaka yao 6 kama navyosikia huko Hakuna kuzaa wala kuanzisha familia mpk umalize miaka yao
Hofu yangu kubwa ni kuchelewa kuanza familia Kwani sina Mtoto hata wa kusingiziwa
Wenye wanajua hayo mambo wanipe muongo

Wenye wanajua hayo mambo wanipe muongozo
Siku hizi mambo ni tofauti kidogo.
Unaweza ukapenya hadi JKT ila JW ndio shughuli.
Bila ko-ne-ksheni ni ngumu mno kwa sasaiv kupata bogi la JW.
Kuolewa sipo tayari kwa sasa nataka kutafuta maisha kwaiyo nimeona ni bora nikayatafutie jeshini mpk nitakapokuwa tayari kuolewa [emoji853][emoji853]
Duu nilipita jkt nikiwa na age ya 19 nikatoka na 22 kiumri lakin mzee kimwil!!!
Thanks God nipo nilipopataka japo haikua rahis!!
Wapi842....to 844 Wana Kati 841....
Bog! Zito op muungano + kikwete 845 ya Sasa enzi hzo ITAKA sio poa ...
Maisha yangu yote sijawah sahau Yale ya jkt ...[emoji26]......fuckin life nusu inialib kisaikolojia Kaz Kaz!!!!!
Alew!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!![emoji15
Nakubali sana umemaliza kila kitu...Chombo kina mifumo yake unaweza kwenda na kikakukataa au kikakukubali.Zingatia sana maelezo ya fomu namba 27 na 26 ya JKT ,na kumbuka unaenda jkt sio Jwtz .Nenda kapambane huko na ukiwa huko unaweza jikuta umekata fursa zingine nzuri kuliko hata hio unayoihitaji au ukapata hitaji la moyo wako ulitakalo.
Anza kufikiria namna ya kuingia jakata na kumaliza mda wa jakata , hayo mengine uyafikirie ukiwa chomboni manake utakua umeshapata experience kidogo ( hasa mda wa uservice girl).
Usiweke matarajio makubwa kifikra kwani ukikosa itakuumiza mno ila ingia na nafsi kwamba nakwenda kufanya sio kujaribu.Zingatia ugawaji wa pochi manyoya ukiwa jakata kwani unaweza haribu damu ikawa kazi bure ( ukawa umejila).
Elimu yako iache getini mpka siku ambayo chombo kitakuambia kimekuamini kwa elimu yako ( muda wote wewe jione hujui lolote lile ) .Kila saa kwako iwe saa 2 kasoro hata kama ji sakumi na jua likiisha kumbuka tu kuipitia ile chenja ya "siku inaondoka hio "×2 .Epuka vitengo uchwara vinavyoweza kufanya ukapata mda wa kuupoza mwili sana ukatamani ngono ( unaweza jikuta unachomoa mimba kila siku, na siku ya usaili ukajikuta ndio kwanza goma limesoma unayo halafu uachwe kizembe).
All in all no easy task in the field battle huendi picnic unaenda kozi na lile sio shirika la mkonge au Bodi ya nyama kunywa maji mengi
Alewaaaaa!! Boss! Naomba nikudm tafadhar.Duu nilipita jkt nikiwa na age ya 19 nikatoka na 22 kiumri lakin mzee kimwil!!!
Thanks God nipo nilipopataka japo haikua rahis!!
Wapi842....to 844 Wana Kati 841....
Bog! Zito op muungano + kikwete 845 ya Sasa enzi hzo ITAKA sio poa ...
Maisha yangu yote sijawah sahau Yale ya jkt ...[emoji26]......fuckin life nusu inialib kisaikolojia Kaz Kaz!!!!!
Alew!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!![emoji15]
Kwhyo wanaoenda monduli wanakuwa na degrii ya nin?Hawa madogo hawataki kuambiwa ukweli.
Sasa degree ya maendeleo ya jamii jeshini ina kazi gani?
Hata wewe uwe mkuu wa majeshi unaweza kumpromo huyo mtu aende akasomee uafisa Monduli?