Msichana Miaka 25 nataka kwenda JKT

Msichana Miaka 25 nataka kwenda JKT

Kama kichwa elezi hapo naombeni ushauri..

Tangu nikiwa mdogo mpaka namaliza form6 ndoto yangu ni. Kuwa mwanajeshi naipenda sana hiyo fani.. na ilikuwa niende nilipomaliza kidato cha 6 ila nyumbani walitaka nimalize chuo

Sasa hivi nimepata wito mno ila napata uoga tu wa zoezi ila natamani sana niende

Nachotaka kujua kwa umri nilionao kama nitaingia huko na kufanikiwa kupata ajira haswa JWTZ je nitatakiwa nikae miaka yao 6 kama navyosikia huko Hakuna kuzaa wala kuanzisha familia mpk umalize miaka yao

Hofu yangu kubwa ni kuchelewa kuanza familia Kwani sina Mtoto hata wa kusingiziwa

Wenye wanajua hayo mambo wanipe muongozo
nlikua na ndoto kama zako nlienda nmekaa miaka mitatu nikarudi hom baada ya kukosa connection maisha yanaendelea ila kila mtu na bahati yake nenda utajifunza vingi ukiwa mjanja
 
Njoo huku urusi ujiunge na 'mobilised', na uwe tayari kwenda vitani
 
So kuolewa sio maisha au tukueleweje?!

Mwanamke ukiolewa kabla ya kutimiza ndoto zako basi sahau kuhusu kutimiza tena

Wanaume ni wabinafsi sana hawezi kukuendeleza so nataka nikamilishe jambo langu kwanza
 
Wanakulazimisha wakikuona unakataaa wanatumia mbinu za kukufanyia figisu wakutese mpaka utasurender mwenyew kutoa utelezi
Waulize wanawake wanaokwenda mafunzo mujibu wa sheria

Mujibu wa sheria nilienda hakuna hayo mambo
 
nlikua na ndoto kama zako nlienda nmekaa miaka mitatu nikarudi hom baada ya kukosa connection maisha yanaendelea ila kila mtu na bahati yake nenda utajifunza vingi ukiwa mjanja

Vipi hadi wa digiriiii wanabaniwa huko??
 
Hueleweki
Chuo umemaliza?
Kama umemaliza, umesomea nini?.
Jwtz siku halishituki na degree.
Njia nzuri kwenda JKT ni kupitia mujibu wa sheria. Hapo huongi pesa wala maku.
Na jeshi la wananchi linapenda kuwaajiri (kuwaandikisha) maafisa ambao ni fresh form six kuliko degree holders.
Jaribu kwenda kwa kujitolea JKT ingawa usumbufu ni mwingi na kuna possibility ya kufanyiwa mambo ya hovyo.
 
Kama kichwa elezi hapo naombeni ushauri..

Tangu nikiwa mdogo mpaka namaliza form6 ndoto yangu ni. Kuwa mwanajeshi naipenda sana hiyo fani.. na ilikuwa niende nilipomaliza kidato cha 6 ila nyumbani walitaka nimalize chuo

Sasa hivi nimepata wito mno ila napata uoga tu wa zoezi ila natamani sana niende

Nachotaka kujua kwa umri nilionao kama nitaingia huko na kufanikiwa kupata ajira haswa JWTZ je nitatakiwa nikae miaka yao 6 kama navyosikia huko Hakuna kuzaa wala kuanzisha familia mpk umalize miaka yao

Hofu yangu kubwa ni kuchelewa kuanza familia Kwani sina Mtoto hata wa kusingiziwa

Wenye wanajua hayo mambo wanipe muongozo
Heading isome MWANAMKE WA MIAKA 25,. Usichana mwisho ni 24
 
Hueleweki
Chuo umemaliza?
Kama umemaliza, umesomea nini?.
Jwtz siku halishituki na degree.
Njia nzuri kwenda JKT ni kupitia mujibu wa sheria. Hapo huongi pesa wala maku.
Na jeshi la wananchi linapenda kuwaajiri (kuwaandikisha) maafisa ambao ni fresh form six kuliko degree holders.
Jaribu kwenda kwa kujitolea JKT ingawa usumbufu ni mwingi na kuna possibility ya kufanyiwa mambo ya hovyo.

Naeleweka

Nimemaliza mwaka huu

Nimesoma Development studiea

Jkt ya mujibu nilienda form6…. Hivyo siwezi kwenda mara mbili

Kuhusu kuwaajili fresh form6 sina uhakika coz kuna wenzangu walienda huko nilipokuwa naanza chuo but wamerudi home hawajapata ajira

Mimi nilichoona nitakaa home sina mishe natafuta ajira miaka 2 ni afwadhaliii niingie huko labda ndoto zangu zaweza timia
 
Back
Top Bottom