Msichana akizaa uzuri unaongezeka

Yote yawezekana kuna kuwa mrembo ukiweza kumaintain mwili kuna kuwa kifutu tumbo huku nyonyo kule kama ni mtu wa kufakamia misosi....

mara ndizi nyama,uji wa ulezi,kichuri, supu jioni na asubuhi,vita malta,siku nyingne mara aagize castle lager(VYOTE HIVYO VILIKUWA VINAAGIZWA NA WIFI YENU ALIPOJIFUNGUA) Matokeo yake kawa kibonge chupi,magaguro na nguo zake nyingne hazimtoshi,SASA HIVI AMEKUWA ANAJIHISI MBAYA KUTOKANA NA UNENE WAKE.
 
Ni ukweli aiseee toka mejifungua salim wangu nazid kuwa mtoto nadhan ni maumbile tu ya mtu na kumaintain msosi bhaaaaas ukiendekeza mtori na roshoro lazima ukae
 
Ni ukweli aiseee toka mejifungua salim wangu nazid kuwa mtoto nadhan ni maumbile tu ya mtu na kumaintain msosi bhaaaaas ukiendekeza mtori na roshoro lazima ukae

netsindiso maa
 
Kama huku kwetu unachinjiwa kondoo. Yaani ukikaa ndqni miezi mitatu unatoka hapo mzungu, lainiiii. Ndo maana wamama wakitoka tu kujifungia wanakuwa wameshatikisa nyavu upya
huwa wamama wananawiri hususani wakati wa ujauzito na baada ya kujifungua...
 
Ni kweli na inahitaji bidii ya kujicontrol ktk ulaji wa chakula,severe breast feeding pia kunasaidia sana kumaintain mwili.
Kwa wapenda misosi na kauvivu ka kubreast feed kunaongeza sana mwili hata kulegea kwa maziwa kwa sababu ya uzito wa nyonyo.

Pia kupunguza uwezekano wa nyonyo kutepeta/kulegea unashauriwa pendelea kunyonyesha umekaa kitako na kumbeba mtoto kuliko kulala
 
ha ha ha mbavu zangu mie et chupi magaguro hayamtoshi
sa si umsaidie kufanya diet ha ha ha
 
Kuna mmama kwa kweli ana watoto wako chuo lakini hata asipovaa bra anaonekana saa 5 dakika 59 sekunde 59. Ila kuna msichana ni bikra ila inaelekea sa 9 na nusu. Mi nadhani inategemea na maumbile ya m2 lingine linakua kama ndala ? Daaaah
Ungetupia kapicha ingekua poa kweli
 
Colagen kunenepa kwa misosi inategemea na mwili me pia nanyonyesha na nakula sana tu wala sinenepi


Hii ya kumnyonyesha mtoto akilala naiogopa sana nimeskia watoto wengine wamekufa kwa kukosa pumzi wakati mama anasinzia wakati akinyonyesha
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…