Msiba

pole sana mkuu wewe na familia,ndugu na jamaa zako kwa msiba huu mzito na wakinyama.


hawa majambazi huwa wana nishangaza sana,shida yao ni mali kwanini wanachukua maisha ya mtu pia? ni unyama wa hali ya juu.


Mungu amlaze marehemu mahali pema peponi.


Hapo nadhani si sahihi...wanatoa na kuteketeza maisha ya watu needlessly!

Hawawezi kuyachukua ni Mungu tu anachukua roho zetu.

Ujambazi kwa sasa unatisha jamani..... ukikutana nao wape kila wanachotaka fasta ili wakuache na maisha yako ..ukikawia nao wanaingiwa na woga na kushambulia hadi kusababisha kifo.

Polisi jamii sijui ina maana gani iwapo majambazi wanafunga hadi mtaa mzima katika harakati za kupora. Polisi mko wapi wakati tunajua mmeboreshewa sana mazingira ya kufanyia kazi ikiwemo vifaa na mafunzo ya mbinu za kisasa ku deal na uhalifu.

EM Pole sana kwa msiba huu mzito.
 
pole sana mangi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
Mkuu Eeka Mangi pole sana kwa msiba wa kusikitisha. Kweli majambazi kupoteza uhai wa mtu bila kosa lolote ni kwa nini. Tumrejee Mungu.
 
Poleni kwa msiba huo mzito. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
 
Poleni sana ndugu zangu... Mungu awajaze nguvu katika kipindi hiki kigumu... tuko pamoja kwenye maombi
 
Dah!

So so so sorry!! Pole sana Eeka na wafiwa wote kwa msiba huo mzito.

Mungu amlaze marehemu mahali pema peponi
 
Kwaade sana mmiku. Naamini mmemaliza kwa amani kwa kadri Mungu alivyowajaza nguvu ya kustahimili kipindi chote hicho kigumu. RIP AMEDE!
 
Poleni sana wafiwa. Jamani hii hali inabidi iwe addressed. Maana kila siku wanajiokotea tu na kumaliza watu kama sungura ama digidigi. Nafikiri serikali sasa itangaze kuwa Silaha ziuzwe sokoni ila kkila mtu awe nayo, inatisha unapovamiwa na kujikuta unajikunyata kama panya anaekodolowa na jipaka kubwa!! nothing to do. Vingenevyo serikali iandae mkakati mahsusi wa kunusuru raia wema. Kila siku taarifa zinafanana.
 
Back
Top Bottom