Domhome
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 3,197
- 3,930
Hivi mi ndio sikuelewa au taarifa haijilewi. Sasa hapo ametiaje aibu, amelitia vipi kundi hili aibu! Au ndo zile za habari nzuri haiuzi hivyo kichwa cha habari lazima kiwe ambiguity.
Nadhani Mwandishi anamaanisha kuwa " wale wengine walitoa fedha kiduchu mno wakati yeye peke yake alitoa hizo 200,000=. Binafsi naona iko sawasawa. Chukulia labda aliyemfatia alitoa 2,000=!!!