Msiba wa sharo: Wema afunika mastaa wenzake

Hivi mi ndio sikuelewa au taarifa haijilewi. Sasa hapo ametiaje aibu, amelitia vipi kundi hili aibu! Au ndo zile za habari nzuri haiuzi hivyo kichwa cha habari lazima kiwe ambiguity.

Nadhani Mwandishi anamaanisha kuwa " wale wengine walitoa fedha kiduchu mno wakati yeye peke yake alitoa hizo 200,000=. Binafsi naona iko sawasawa. Chukulia labda aliyemfatia alitoa 2,000=!!!
 
Hata walioandika Habari hii nayo ni aibu, napinga sana uwepo wa haya magazeti uchwara ya Udaku.
 
Hivi mi ndio sikuelewa au taarifa haijilewi. Sasa hapo ametiaje aibu, amelitia vipi kundi hili aibu! Au ndo zile za habari nzuri haiuzi hivyo kichwa cha habari lazima kiwe ambiguity.

Ina Maana WASANII wengine walikuwa wanatoa SH. ELFU MOJA; ELFU 5; Lakini sio kama WEMA laki 2
 
Kumbe siku hizi kutoa rambirambi si moyo bali ni kujionyesha?NIMECHUKIZWA NA TAARIFA HII

Umeona hakujitangaza yeye; NI NDUGU wa FAMILIA aliyetoa SIRI HIZO... SIO WEMA; Kama anastahili a CREDIT tumpe JAMANI...
 
Kwani unalazimishwa kusoma?
Ningeshangaa kama usingejitokeza hapa, hawa wana hasira ule msiba haukutokea Dar es salaam na isitoshe ni wa Kiislamu kwahiyo hawakupata fursa ya kuunda kamati zao za kitapeli za kusimamia mazishi ili kupiga pesa ndefu kama walivyofanikiwa kujinufaisha na msiba wa Kanumba.
 
Umejuaje wana hasira? Umeingia mioyoni mwao na kuziona hizo hasira?
 
Nadhani Mwandishi anamaanisha kuwa " wale wengine walitoa fedha kiduchu mno wakati yeye peke yake alitoa hizo 200,000=. Binafsi naona iko sawasawa. Chukulia labda aliyemfatia alitoa 2,000=!!!

Nakubaliana na wewe aliaanisha hivyo, lakini kusema kwamba A kamtia aibu B inamaanisha, A ndio mtenda na B ni mtendwa, ie kitendo cha aibu alichokifanya A kimesababisha B aone/atiwe aibu. Nahisi kuna makosa kiuandishi au ni makusudi ya kutafuta mvuto wa stori. Habari nzuri haiuzi.
 
Ningeshangaa kama usingejitokeza hapa, hawa wana hasira ule msiba haukutokea Dar es salaam na isitoshe ni wa Kiislamu kwahiyo hawakupata fursa ya kuunda kamati zao za kitapeli za kusimamia mazishi ili kupiga pesa ndefu kama walivyofanikiwa kujinufaisha na msiba wa Kanumba.

UNA MAANISHA CLOUDS FM NINI??

ILE REDIO YA WAFU,,MAANA WALE JAMAA NJAA KALI SANA,MJINI PANAWAWIA UGUMU SANA HAPA

:madgrin: :madgrin:
 
habari inaongezewa kabisa kwamba" wasanii wengine waliishia kutia aibu" so kama hawana hawakutakiwa kwenda kuzika? habari nyingine ni aibu tupu.

Watu tunatofautiana vitu vingine hapana kwa kweli sidhani hata huyo alitoa hicho kiasi kafurahi hizi habari kutoka public hivi.

Rambirambi ni sawa na sadaka kanisani,sidhani kama kuna ulazima wa kutangazwa kama hivi.
 
Huyu Dada yetu Wema Sepetu ana ugonjwa mmoja wa Kitabia unaitwa 'Attention Seeking Disorder'

Hivyo siku zote atatafuta matukio ili watu wamuone na kumzungumzia.
Kwa mfano tukio hili la msiba usishangae habari hii ameipika na gazeti ili liuze na yeye awe gumzo, kwa sababu
1/Sio jambo la hekima na la kawaida kutangaza michango ya msiba hadharani

2/Nani anajua ukweli wa alichotoa Wema na walichotoa wasanii wengine?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom