Msiba wa Daudi Mwamgosi: Kinachojili Itete, Tukuyu katika mazishi yake

Mwandosya mnafiki mkubwa itasaidia nini wakati watoto kinda kabisa hakukuwa na sababu ya baba yao kunyang'anywa uhai wake,watoto wanamuhitaji baba yao
Sidhani hata hayo masaburi yako yanafanya kazi!
 
Mwandosya mnafiki mkubwa itasaidia nini wakati watoto kinda kabisa hakukuwa na sababu ya baba yao kunyang'anywa uhai wake,watoto wanamuhitaji baba yao

Lakini angalau ameonyesha kuguswa kwake na nini angalau akifanye kwa kuisaidia familia. Swali na sisi tusaidie kipi katika hali kama hii?
 
Kwanini ni Wanyakyusa tuu? Dr. Ulimboka na Dr.Mwakyembe naomba mujiulize na mtafakali misimamo yenu
 
Tunashukuru kwa habari hii,Nasikia machungu moyoni,Machozi yananitoka;
Poleni familia yote ya waandishi wa habari Tanzania.

Damu yako iwe kichocheo cha kudai haki zaidi kupitia vuguvugu la mabadiliko.
 
RIP Kamanda.

Vipi mipolisi na mapolisi hayakuzuia mkusanyiko maana ni wakati wa sensa?

Mwandosya hapo anawakilisha kijani?
 
Kwanza nakupongeza kwa picha nzuri. Pili nawapa pole sana sana mke wa marehemu na watototo kwa kuondokewa na baba yao kipenzi. Mungu atawalinda na kuwafanyia kisasi!!!
 
ukaghone gwa m'yitu....
mmbule KYALA inyali syosa isi CCM bikubhomba...
 
RIP Kamanda.

Vipi mipolisi na mapolisi hayakuzuia mkusanyiko maana ni wakati wa sensa?

Mwandosya hapo anawakilisha kijani?

Ndio taabu ya kuweka akili zako kabatini uendapo kazini na kupokea amri bila hata kuzichuja !
 
Wakiongea kwenye mazishi ya mwandishi wa habari aliyeuwawa na polisi.kwa nyakati tofauti Mbunge wa Rungwe Profesa MARK MWANDOSYA na Katibu mkuu wa Chadema Dk W.P.SLAA wameahidi kuwasomesha watoto wa marehemu Daud Mwangosi.

Akianza Prof Mark Mwandosya amesema anajitolea kumsomesha mtoto wa kwanza alie kidato cha nne mpaka chuo kikuu.

Naye katibu mkuu wa Chadema amesema kwa kuanzia wameshatoa kiasi cha fedha na vile vile wameahidi kumsomesha mtoto wa pili ambaye sasa yuko darasa la saba.

Source.Eborn Fm
 
Ingekuwa na MAFISADI wanauliwa kwa staili hii ,hii nchi tungekuwa tunapanda ndege badala ya daladala

nimelia sana ila haitasaidia kitu,huyu Mungu atafanya njia!
 
Nimepata taarifa kuwa Mhe. Mwandosya amejtolea kuwasomesha watoto wa marehemu.
Kama kiongozi wa Serikali(waziri) na kama Mbunge (mwakilishi wa Wananchi) ataamua kusomesha tuu watoto bila ya kutoa kauli ya kukemea vikali Jeshi la Polisi kwa kufanya mauaji basi haina maana sana
 
Hiyo pesa ni ya kwake mfukoni au mwandosya katumwa na serikali. Nyie nyie muue na nyie nyie msomeshe familia...dah...
 
Back
Top Bottom