Wakiongea kwenye mazishi ya mwandishi wa habari aliyeuwawa na polisi.kwa nyakati tofauti Mbunge wa Rungwe Profesa MARK MWANDOSYA na Katibu mkuu wa Chadema Dk W.P.SLAA wameahidi kuwasomesha watoto wa marehemu Daud Mwangosi.
Akianza Prof Mark Mwandosya amesema anajitolea kumsomesha mtoto wa kwanza alie kidato cha nne mpaka chuo kikuu.
Naye katibu mkuu wa Chadema amesema kwa kuanzia wameshatoa kiasi cha fedha na vile vile wameahidi kumsomesha mtoto wa pili ambaye sasa yuko darasa la saba.
Source.Eborn Fm
Poleni sana wafiwa Mola ailaze pahala panapostahikhi roho ya marhum.
ni kweli pr mwandosya kajitolea kusomesha familia?
R.I.P Mwangosi, Mkuu ahsante kwa kutuwezesha kujua yanayojiri!!
Mwadosya alikuwa anawalilisha serikali Je ahadi aliyeitoa ni yakwake mwenyewe au ni ya serikali ? hebu tujulisheni wazee
Jk kisha tuahidi ahadi kibao bado tunasubiri sijui mpaka lini?
Tunaanza kuzalisha kizazi chenye chuki na visasi ndani ya nchi yetu na hii ni hatari sana!!!Hakuna mtu anayeweza kuvumilia baba yake kuuawa kinyama namna ile bila kosa lolote.
Mwandosya ndio Mbunge wa Jimbo ambalo Mwangosi amezaliwa. Ahadi ni kama mbunge
Mpaka lini? Options zimezingatiwa kweli?
ukaghone gwa m'yitu....
mmbule KYALA inyali syosa isi CCM bikubhomba...