mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,323
- 56,062
- Thread starter
- #61
hakuna mwanafunzi anayependa kubebwa kila mtu anapenda privacy lakini kwa udsm mwaka wa kwanza pekee ndio wana guarantee ya kupata accomodation ,the rest ni bahati na sibu ukikosa inabidi utafute mtu wa kukubeba maana kukaa /kupanga mtaani nako ni changamoto kubwaa kwa shule jinsi ilivyo ngumu.UDSM waliifaidi wa enzi za nyerere