Msiba mkubwa kutokea UDSM ikiwa...

Msiba mkubwa kutokea UDSM ikiwa...

haya majengo yana miaka zaidi ya 50 hatukatai kwamba ni imara kwani hata roli la tani 7 ukilibebesha tani 15 litachoka kabla ya muda tatizo hapa ni overloading,capacity ya kubeba mtu mmoja kwa chumba sasa ni watu wanne ,kubebana ndio point ya kujadili kwani uimara utapungua tu,siku ya kianguka ndio utasikia tume zinaundwa kwa gharama wakati tume inaweza kufanya kazi kabla ya maafa

NANI KAKUAMBIA VILE VYUMBA NI KWA Mtu Mmoja?
 
Wewe una simu nzuri lkn akili kidogo. kipi bora kusubiri nyumbani au watoto wetu waangamie ? unajua siku hizi tunazaa wawili tu. sasa mmoja akifia hol tu na mwingine hol fiv tutamuachia nani mijipesa tuliuoiba serikalini ?

teh teh teh...,u have made ma day
 
Hivi mnatumia stairs, lift au escalator kupanda huko floor ya10?

Hall 5 lift zao zilikuwa nzima nzima miaka ya 2000 lakini hall 2 lift zake spana mkononi. Sijui miaka hii, nimetoka UD miaka mingi kidogo.
 
Hall 5 lift zao zilikuwa nzima nzima miaka ya 2000 lakini hall 2 lift zake spana mkononi. Sijui miaka hii, nimetoka UD miaka mingi kidogo.

Mkuu jina lako nimelipenda Idimi
 
Last edited by a moderator:
Kumbukumbu yangu mbaya ya hayo mabweni ni tatizo sugu la maji. Hivi bado tatizo linaendelea? Vyoo vilikuwa vichafu sana!
 
Back
Top Bottom