Msiba mkubwa kutokea UDSM ikiwa...

Msiba mkubwa kutokea UDSM ikiwa...

Acha urongo. vitanda vitakaa wapi. chumba cha mwanafunzi wa chuo kinatakiwa kiwe na kitanda. makochi na meza ya kahawa meza ya kusomea na kabati la nguo. hivi ndio basic.

Kama unashindwa kutofautisha ukweli na uongo ni heri ukakaa kimya. Niliwahi kuishi hapo Block E miaka miwili kati ya minne ya masomo yangu UDSM,

Watu tulikua 9 vitanda viwili vya double decker; wawili wawili making a total of 8 na mwingine alikua na godoro lake anatandika chini asbh anatandua. Na ilikua enzi hizo Div III hupati admission UDSM, sasa saiv sijui itakuwaje coz had div IV unakua admitted.
 
kaka ungekuwa umelala mle siku ya tukio ungejua namaanisha nini hata wale makauzu walikimbia kma wewe ulimaliza na akina samwel sitta enzi hizo pita kesho uyachungulie ujionee nyufa

tuombe Mungu yaanguke tukiwa likizo mana msiba wake mh, hauvumiliki labda kama mkandala na wenzie wameamua kutoa kafara safi ya wasomi wachanga.
 
Litakuja tokea janga kubwa sana pale halafu tutaishia kuomboleza na kuunda tume zisizo na majibu
 
Leo wanafunzi wa cuo kikuu cha dar es salaam wamefunga semester ya kwanza kwa mwaka huu wa masomo huku wanafunzi wanaoishi kampasi ya jk nyerere zamani mlimani katika mabweni ya hall 2 na hall 5 wakimshukuru Mungu kwa kwenda likizo salama,hii ni kutokana na usalama mdogo wa mabweni hayo alfajiri kuamkia siku ya ijumaa 7 feb 2013 kama itakumbukwa kulitokea upepo mkali sana katika jiji la dar hali iliyopelekea majengo tajwa kuyukba na kutikisika mpka wanafunzi sita wakajeruhiwa na kulazwa kwa muda katika zahanati ya chuo kikuu.majengo hayo ilishashauriwa yasitumike kutokana na usalama wake.kwa asiyeyafahamu ni yale majengo marefu kabisa ya ghorofa kumi lakini uongozi wa chuo umeziba masikio,e mwenyezi mungu apishilie mbali yasije kuporomoka wakati chuo kimefunguliwa

Miaka takribani 10 iliopita nimewahi kuishi katika majengo hayo yote kwa nyakati tofauti. Sipingi jambo unalosema, ni kweli hali ya majengo yale hasa hall 2 hairidhishi, ukiongeza na idadi kubwa ya wanafunzi wanaobebana ndio balaa zaidi. Lakini tufike mahali kama wasomi tufanye maamuzi kulingana na hali halisi. Mna viongozi wenu, watumieni, pia kama msomi umeona jengo halikufai kuishi, kwann uendelee kuishi ilihali ukijua ikitokea dhahama utapoteza maisha? Najua ugumu wa kupata vyumba karibu ma chuo lakini hilo lisikufanye uweke uhai wako rehani kisa tu uongozi wa chuo haujatoa tamko.

Tafakari, toa maamuzi.
 
Leo wanafunzi wa cuo kikuu cha dar es salaam wamefunga semester ya kwanza kwa mwaka huu wa masomo huku wanafunzi wanaoishi kampasi ya jk nyerere zamani mlimani katika mabweni ya hall 2 na hall 5 wakimshukuru Mungu kwa kwenda likizo salama,hii ni kutokana na usalama mdogo wa mabweni hayo alfajiri kuamkia siku ya ijumaa 7 feb 2013 kama itakumbukwa kulitokea upepo mkali sana katika jiji la dar hali iliyopelekea majengo tajwa kuyukba na kutikisika mpka wanafunzi sita wakajeruhiwa na kulazwa kwa muda katika zahanati ya chuo kikuu.majengo hayo ilishashauriwa yasitumike kutokana na usalama wake.kwa asiyeyafahamu ni yale majengo marefu kabisa ya ghorofa kumi lakini uongozi wa chuo umeziba masikio,e mwenyezi mungu apishilie mbali yasije kuporomoka wakati chuo kimefunguliwa

Chuo hawana uwezo wa kujenga mabweni ya wanafunzi. Public Educational Institutions zote duniani ni non profit making organisations, hazina hela wala wafanyakazi wake huwa siyo matajiri. Sema tu uongozi wa chuo unatakiwa tu kuhakikisha kuwa hayo mabweni hayatumiki tena, na ku-ipress serikali kujenga majengo mbadala kufidia accommodation hizo. Hili swala tulishawahi kulitabiri hapa muda siyo mrefu,,,,,,, kwa kweli inabidi hatua za msingi zichukuliwe kabla hayajatokea majanga, kwa kweli nina imani hakuna mtu atakayekuja kuelewa siku yakija kutokea yale yasitotegemewa!
 
Majengo yale hall two na five sio kama magotofa yenu ya kariakoo. yale yalijengwa yakajengeka na wajenzi wajengaji. usitumie macho na hisia tumia vipimo vya kisayansi ku ya condemn

Design period ya majengo yale ni miaka mingapi? Current users wanaeleza discomfort wanayopata wewe unakataa sijui unaishi wapi? May be Mabibo hostel! Nimeishi hall 5 mwaka wa masomo 1998/99 sikutamani kuishi tena mle, usalama kwenye majengo yale ni wa mashaka sana.
 
Leo wanafunzi wa cuo kikuu cha dar es salaam wamefunga semester ya kwanza kwa mwaka huu wa masomo huku wanafunzi wanaoishi kampasi ya JK Nyerere zamani mlimani katika mabweni ya hall 2 na hall 5 wakimshukuru Mungu kwa kwenda likizo salama,hii ni kutokana na usalama mdogo wa mabweni hayo.

Alfajiri kuamkia siku ya ijumaa 7 feb 2013 kama itakumbukwa kulitokea upepo mkali sana katika jiji la Dar hali iliyopelekea majengo tajwa kuyumba na kutikisika mpka wanafunzi sita wakajeruhiwa na kulazwa kwa muda katika zahanati ya chuo kikuu.

Majengo hayo ilishashauriwa yasitumike kutokana na usalama wake.Kwa asiyeyafahamu ni yale majengo marefu kabisa ya ghorofa kumi lakini uongozi wa chuo umeziba masikio.

Ee mwenyezi Mungu apishilie mbali yasije kuporomoka wakati chuo kimefunguliwa.

kwani chumba kimoja kinatakiwa kikaliwe na wanafunzi wangapi? na inakuwaje hili ni tatizo la uongozi? sheria ziko wazi kuhusu matumizi ya majengo tajwa, ila uhaba wa nyumba/malazi unapelekea kulala wengi kuliko maelezo

pia sio jukumu la chuo kikuu kumtafuatia mwanafunzi malazi au kumjengea history, jukumu la chuo ni

Teaching, Consultancy and Research. period
 
Muwe mnaaandama kwa mambo kama haya pia siyo kila siku maandamano mnafanya kwa ajili ya boom tu!!
 
njoo mabibo hostel ujionee maajabu,chumba cha watu wanne wanalala watu kumi

Na hilo ndio tatizo, mnaoverload jengo, kama vile vyumba vya mtu mmoja mnalala watatu maana yake mmezidisha mzigo mara tatu halafu mnakuja hapa mnalialia.

Na hizo siku mkiimport ongeza mzigo wa hiyo ndito na mitikisiko mnategemea nini hapo?
 
kwani chumba kimoja kinatakiwa kikaliwe na wanafunzi wangapi? na inakuwaje hili ni tatizo la uongozi? sheria ziko wazi kuhusu matumizi ya majengo tajwa, ila uhaba wa nyumba/malazi unapelekea kulala wengi kuliko maelezo

pia sio jukumu la chuo kikuu kumtafuatia mwanafunzi malazi au kumjengea history, jukumu la chuo ni

Teaching, Consultancy and Research. period

sio jukumu la chuo kumtafutia malazi??em tajaaa hyo sheria ama Act inayosema hivo,we wa wapi,si wasingejenga hzo halls ana hostel mabibo in the first place...NI JUKUMU LAO,basi tu UWEZO MDOGO
 
kwa hiyo solution ni kuwaacha waendelee kuishi huko hadi yatakapoporomoka??

Waishi tokana na idadi iliyokusudiwa, ni sawa na ile meli ya mv Bukoba au ile ya Zenji jina limenitoka ambazo zilizama kwa sababu ya kuzidisha mzigo
 
L wanafunzi wa cuo kikuu cha dar es salaam wamefunga semester ya kwanza kwa mwaka huu wa masomo huku wanafunzi wanaoishi kampasi ya JK Nyerere zamani mlimani katika mabweni ya hall 2 na hall 5 wakimshukuru Mungu kwa kwenda likizo salama,hii ni kutokana na usalama mdogo wa mabweni hayo.

Alfajiri kuamkia siku ya ijumaa 7 feb 2013 kama itakumbukwa kulitokea upepo mkali sana katika jiji la Dar hali iliyopelekea majengo tajwa kuyumba na kutikisika mpka wanafunzi sita wakajeruhiwa na kulazwa kwa muda katika zahanati ya chuo kikuu.

Majengo hayo ilishashauriwa yasitumike kutokana na usalama wake.Kwa asiyeyafahamu ni yale majengo marefu kabisa ya ghorofa kumi lakini uongozi wa chuo umeziba masikio.

Ee mwenyezi Mungu apishilie mbali yasije kuporomoka wakati chuo kimefunguliwa.

Yapo sehemu gani hayo ya Ghorofa kumi?

MImi nayafahamu yale mawili moja lipo jirani na Cafeteria mbili na hili jingine Ni Ofisi ya USAB, haya yana Floor kumi na moja.

Kikao gani kilikaa,siku,tarehe hata venue kushauri hayo majengo yasitumike?
 
Design period ya majengo yale ni miaka mingapi? Current users wanaeleza discomfort wanayopata wewe unakataa sijui unaishi wapi? May be Mabibo hostel! Nimeishi hall 5 mwaka wa masomo 1998/99 sikutamani kuishi tena mle, usalama kwenye majengo yale ni wa mashaka sana.

Acha uongo.
 
Msaada kwa hisani ya wamarekani,tukiwakatia na bagamoyo kidogo.haya majengo watajenga kipindi kifupi,tz bwana haina pesa ya kunulia madawati ya wanafunzi lakini ina uwezo wa kumlipa mmbunge wa bunge la katiba laki 7 kwa sik Non sense argument.
 
Leo wanafunzi wa cuo kikuu cha dar es salaam wamefunga semester ya kwanza kwa mwaka huu wa masomo huku wanafunzi wanaoishi kampasi ya JK Nyerere zamani mlimani katika mabweni ya hall 2 na hall 5 wakimshukuru Mungu kwa kwenda likizo salama,hii ni kutokana na usalama mdogo wa mabweni hayo.

Alfajiri kuamkia siku ya ijumaa 7 feb 2013 kama itakumbukwa kulitokea upepo mkali sana katika jiji la Dar hali iliyopelekea majengo tajwa kuyumba na kutikisika mpka wanafunzi sita wakajeruhiwa na kulazwa kwa muda katika zahanati ya chuo kikuu.

Majengo hayo ilishashauriwa yasitumike kutokana na usalama wake.Kwa asiyeyafahamu ni yale majengo marefu kabisa ya ghorofa kumi lakini uongozi wa chuo umeziba masikio.

Ee mwenyezi Mungu apishilie mbali yasije kuporomoka wakati chuo kimefunguliwa.

Unarudi Kijijini kwenu kutoa Elimu ya Uraia?
 
hatuwezi kuchukua hatua kabla maafa hayatokea,ngoja siku watu wakizikwa humo tutaunda tume ya uchunguzi na tutamuadabisha mkandarasi!
Chakufanya inabidi wale wanene wenye makilo mengi wawe ghorofa za chini na wasiwekwe huko juu
 
Acha urongo. vitanda vitakaa wapi. chumba cha mwanafunzi wa chuo kinatakiwa kiwe na kitanda. makochi na meza ya kahawa meza ya kusomea na kabati la nguo. hivi ndio basic.

kaka wewe umesomea wapi au ndio wale wenzetu hadi primary mmesomea nje,utalii sio lazima kwenda mikumi na serengeti uje hapa chuo uangalie nenda na mabibi hostel kaulizie utajifunza kitu hayo unayoyasema yalikuwa enzi za mwalimu
 
Back
Top Bottom