Msiba mkubwa kutokea UDSM ikiwa...

Msiba mkubwa kutokea UDSM ikiwa...

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,323
Reaction score
56,062
Leo wanafunzi wa cuo kikuu cha dar es salaam wamefunga semester ya kwanza kwa mwaka huu wa masomo huku wanafunzi wanaoishi kampasi ya JK Nyerere zamani mlimani katika mabweni ya hall 2 na hall 5 wakimshukuru Mungu kwa kwenda likizo salama,hii ni kutokana na usalama mdogo wa mabweni hayo.

Alfajiri kuamkia siku ya ijumaa 7 feb 2013 kama itakumbukwa kulitokea upepo mkali sana katika jiji la Dar hali iliyopelekea majengo tajwa kuyumba na kutikisika mpka wanafunzi sita wakajeruhiwa na kulazwa kwa muda katika zahanati ya chuo kikuu.

Majengo hayo ilishashauriwa yasitumike kutokana na usalama wake.Kwa asiyeyafahamu ni yale majengo marefu kabisa ya ghorofa kumi lakini uongozi wa chuo umeziba masikio.

Ee mwenyezi Mungu apishilie mbali yasije kuporomoka wakati chuo kimefunguliwa.
 
Majengo yale hall two na five sio kama magotofa yenu ya kariakoo. yale yalijengwa yakajengeka na wajenzi wajengaji. usitumie macho na hisia tumia vipimo vya kisayansi ku ya condemn
kaka ungekuwa umelala mle siku ya tukio ungejua namaanisha nini hata wale makauzu walikimbia kma wewe ulimaliza na akina samwel sitta enzi hizo pita kesho uyachungulie ujionee nyufa
 
Kwa akili ya kawaida unadhani idadi yote ya wanafunzi wanaoishi katika yale majengo watapelekwa wap?? Mnataka muambiwe mkasubiri nyumbani kwa siku zisizohesabika? Au mpangishiwe vyumba savei?

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
kaka ungekuwa umelala mle siku ya tukio ungejua namaanisha nini hata wale makauzu walikimbia kma wewe ulimaliza na akina samwel sitta enzi hizo pita kesho uyachungulie ujionee nyufa

Actually nilisoma na mh. KAPUYA sio Sitta japo wote wanyamwezi. enzi zetu kile chumba kirefu cha mwisho kikubwa kuliko vyote ndio kilikua cha watu wawili. vingine vyote single. sikuhizi nasikia mnakaa mpaka wanne kwenye kile chumba kikubwa. sasa mnawapaje watu watatu exile mki import ?
EXILE.. KUMHAMISHA MTU CHUMBANI
KUIMPORT..... KULETA NDITO HATA KM NI KCC NA KULALA NAE MPAKA MAJOGOO
 
njoo mabibo hostel ujionee maajabu,chumba cha watu wanne wanalala watu kumi
 
njoo mabibo hostel ujionee maajabu,chumba cha watu wanne wanalala watu kumi

Acha urongo. vitanda vitakaa wapi. chumba cha mwanafunzi wa chuo kinatakiwa kiwe na kitanda. makochi na meza ya kahawa meza ya kusomea na kabati la nguo. hivi ndio basic.
 
Kwa akili ya kawaida unadhani idadi yote ya wanafunzi wanaoishi katika yale majengo watapelekwa wap?? Mnataka muambiwe mkasubiri nyumbani kwa siku zisizohesabika? Au mpangishiwe vyumba savei?

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
kwa hiyo solution ni kuwaacha waendelee kuishi huko hadi yatakapoporomoka??
 
Kwa akili ya kawaida unadhani idadi yote ya wanafunzi wanaoishi katika yale majengo watapelekwa wap?? Mnataka muambiwe mkasubiri nyumbani kwa siku zisizohesabika? Au mpangishiwe vyumba savei?

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk

Dah..! kwa hiyo wakae mlemle hadi yatakapoanguka nao...!?
 
Kwa akili ya kawaida unadhani idadi yote ya wanafunzi wanaoishi katika yale majengo watapelekwa wap?? Mnataka muambiwe mkasubiri nyumbani kwa siku zisizohesabika? Au mpangishiwe vyumba savei?

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk

Wewe una simu nzuri lkn akili kidogo. kipi bora kusubiri nyumbani au watoto wetu waangamie ? unajua siku hizi tunazaa wawili tu. sasa mmoja akifia hol tu na mwingine hol fiv tutamuachia nani mijipesa tuliuoiba serikalini ?
 
Bulldog kesho au keshokutwa ukasikia yameanguka na kuua na akawepo dada yako au ndugu yako utakuja hum jf kuomba radhi.?
 
Msaada kwa hisani ya wamarekani,tukiwakatia na bagamoyo kidogo.haya majengo watajenga kipindi kifupi,tz bwana haina pesa ya kunulia madawati ya wanafunzi lakini ina uwezo wa kumlipa mmbunge wa bunge la katiba laki 7 kwa siku
 
Kwa akili ya kawaida unadhani idadi yote ya wanafunzi wanaoishi katika yale majengo watapelekwa wap?? Mnataka muambiwe mkasubiri nyumbani kwa siku zisizohesabika? Au mpangishiwe vyumba savei?

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk

mm nimesoma udsm tokea mwaka 2008 hilo tatizo lilikuwepo majengo ni mabovu nakwambia na watu wanaokaa ni wengi kuliko uwezo wa jengo. chumba cha watu 2 wanakaa 4 hadi 6.

cha kushangaza ukiskia mgomo udsm ni wanafunzi wanataka boom lkn hawagomi kw mambo km haya ambayo ndiyo ya msingi
 
Poleni.la msingi hama panga nnje au akubebe mtu hostel nyingine."Watu wangu wanaangamia kwa kukosa ujuzi na maarifa".Maarifa huna hata hata ya kukimbia?IAA njiro majambazi yalikuwa yanavamia hostel nikaona bora nikapange eneo tofauti 2007 hadi leo hakuna boys hostel za kubeba wengi labda kukodi nyumba mtaani na kuita hostel za chuo.Hama uokoe roho yako.
 
Ubovu wa majengo ndio, laki na wakaaji pia wamekuwa wengi mara tatu kuliko ilivyokadiriwa. Sijui kama chuo kinaweza kuanza mkakati wa kupunguza udahili mpaka kiwango wanachoweza kuwalaza wote bila kubebana na rabsha kama hizo...
 
Hivi mnatumia stairs, lift au escalator kupanda huko floor ya10?
 
.. upepo mkali sana katika jiji la dar hali iliyopelekea majengo tajwa kuyukba na kutikisika mpka wanafunzi sita wakajeruhiwa na kulazwa kwa muda katika zahanati ya chuo kikuu..

panda empire state building gorofa 103 (imejengwa 1931) uone inavyotikisika na kuyumba & cracks zipo. maingineer mnao hapo kibao - hao wanafunzi kihoro tu, labda ni wamezoea bungalow za tandale.
 
N
Leo wanafunzi wa cuo kikuu cha dar es salaam wamefunga semester ya kwanza kwa mwaka huu wa masomo huku wanafunzi wanaoishi kampasi ya jk nyerere zamani mlimani katika mabweni ya hall 2 na hall 5 wakimshukuru Mungu kwa kwenda likizo salama,hii ni kutokana na usalama mdogo wa mabweni hayo alfajiri kuamkia siku ya ijumaa 7 feb 2013 kama itakumbukwa kulitokea upepo mkali sana katika jiji la dar hali iliyopelekea majengo tajwa kuyukba na kutikisika mpka wanafunzi sita wakajeruhiwa na kulazwa kwa muda katika zahanati ya chuo kikuu.majengo hayo ilishashauriwa yasitumike kutokana na usalama wake.kwa asiyeyafahamu ni yale majengo marefu kabisa ya ghorofa kumi lakini uongozi wa chuo umeziba masikio,e mwenyezi mungu apishilie mbali yasije kuporomoka wakati chuo kimefunguliwa

Ee, MUNGU Baba Mbinguni twakuomba uwaguse hawa watu wa ccm
Ili wasibaki tu kufuatilia mambo ya Chadema wakumbuke pia kuangalia usalama wa wanafunzi wa UDSM.
 
Back
Top Bottom